KIJIJI CHA MAKUMBUSHO YA TAIFA KIJITONYAMA, DAR ES SALAAM NOV. 12, 2022. – Kama ambavyo tumeendelea kufahamu kwamba kila tarehe 10/Novemba ya kila mwaka ilikuwa ni siku kuu kubwa ya maadhimisho ya siku ya wachagga iliyokuwa ikifanyika zamani Moshi. – Siku hii ilikuwa siku muhimu sana kwa wachagga kwani ndio siku iliyokuwa ikitumika kama kilele …
Year: 2022
“MIAKA 700 YA WACHAGGA”.
(JNIA, INTERNATIONAL AIRPORT, DAR ES SALAAM, DOMESTIC ARRIVALS, CHECK IN). Urithi Wetu Wachagga. urithiwetuwachagga@gmail.com
JE, WAZEE/VIONGOZI AU WATANGULIZI WETU WALIOKUWA NA MAONO MAKUBWA NA KUANZISHA, WANAPEWA HESHIMA INAYOWASTAHILI?
– (Au Tunafikiri Taasisi Hizi Zilishuka Tu Kutoka Mbinguni?). 1. Picha Na. 1, 2 na 3 Inaonyesha Waasisi Waliojenga Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi Kwenye Miaka Ya 1940’s/1950’s Katika Juhudi za Kuleta Maendeleo Makubwa Kwa Jamii Yao. Kikiwa Ndio Taasisi Ya Mwanzoni Kabisa Ya Elimu Ya Juu Tanganyika. 2. Picha Na. 4, 5 na 6 …
TUANDIKE KUHUSU KOO ZETU.
Wachagga ni jamii yenye watu wengi sana na ni moja kati ya makabila/jamii kubwa na maarufu sana Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla. Kupitia Fasihi/Literature wachagga ni kati ya makabila maarufu sana Afrika. Na kabla ya uhuru wa Tanganyika wachagga walikuwa ni kati ya jamii chache zilizokuwa zinaongoza kwa maendeleo makubwa sana sio tu kwa …
MACHAME – NKWESEKO
Urithi Wetu Wachagga
MARANGU – SAMANGA
Urithi Wetu Wachagga.
KITABU CHA “MIAKA 700 YA WACHAGGA” – MOSHI.
Habari Njema kwa Watu wa Moshi waliokuwa wanaulizia sana kuhusu kitabu kinapatikana sehemu gani kwa Moshi Mjini ni kwamba: Kitabu kinapatikana “Lutheran Uhuru Hotel and Conference Centre” Shanti Town. Kwa sasa nakala za awamu ya pili ndio zinaendelea kumalizika. Unaweza Kuwasiliana na Brother Nelson Munisi +255 754 068 852. Kitabu cha Miaka 700 Ya Wachagga …
TUNAELEKEA WAPI KAMA JAMII?
Wakati wowote katika historia, swali moja ambalo watu au jamii hupaswa kujiuliza ni tunaelekea wapi? Hili ni swali muhimu sana kwa sababu linasaidia kuwapa watu/jamii fursa na nafasi ya kuamua kwa usahihi kule wanakotaka kuelekea badala ya kusubiri hatma iamue yenyewe. Kwa sababu watu wakishindwa kuamua wanaelekea wapi watajikuta sehemu ambayo hawakutamani kufika na kujilaumu …
TUMEPOTOSHWA NA KUJIPOTOSHA SANA JUU YA ASILI YETU WACHAGGA.
Kupitia tafiti mbalimbali za kihistoria na kitamaduni ambazo zilianza tangu karne nyingi zilizopita na kuanza kuwekwa kwenye maandishi na kumbukumbu tangu karne ya 19 tumeweza kuwa na taarifa nyingi sana juu ya asili ya asili ya wachagga. Kama tunavyojua kwamba maarifa hayana mwisho na mtu huwezi kuziba kila pengo lililopo kwenye historia kwa haraka, hivyo …
MAADHIMISHO YA MIAKA 100 YA SHULE YA SEKONDARI OLD MOSHI (1922 – 2022).
– Shule ya Sekondari Old Moshi inaenda kutimiza miaka 100 mwezi Oktoba, 2022, tangu kuanzishwa kwake Oktoba, 1922. Shule hii kongwe ya Old Moshi ilianzishwa na serikali ya Waingereza mwaka 1922 ikiwa ni shule ya kwanza ya serikali ya sekondari katika mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara. – Shule ya Sekondari Old Moshi ilianzishwa katika …