UKOO WA MASAKI.

– Ukoo wa Masaki ni ukoo maarufu katika eneo la himaya ya umangi Siha/Sanya Juu katika vijiji vya Samaki Maini na Mae. Wachagga wa ukoo wa Masaki wakiwa wameshuka kutoka kwenye plango ya Shira waliweka makazi yao ya mwanzoni ya kudumu katika kijiji cha Samaki Maini sambamba na ukoo wa Orio/Urio na Kileo. – Kutoka …

UKOO WA MWANDRI.

– Ukoo wa Mwandri ni ukoo mkongwe sana na maarufu katika eneo la Siha Sanya Juu. Huu ni ukoo ambao uliweka makazi yake ya kudumu katika kijiji cha Wanri, Siha upande wa juu wa hospitali ya Kibong’oto. Kijji hiki cha Wanri miaka ya baadaye kilikuja kuwa maarufu zaidi na muhimu zaidi kwenye masuala ya utawala …

UKOO WA MMARI.

UKOO WA MMARI. – Ukoo wa Mmari ukoo mkubwa wenye historia kubwa na uliotoa watu mashuhuri katika historia ya wachagga. Kutoka kwenye historia ukoo wa Mmari huenda chimbuko lake kwa uchaggani ni Siha/Sanya ambapo wanapatikana kwa wingi sana na umewahi kuwa ukoo wenye nguvu na uliotoa watawala imara sana wa himaya ya umangi Siha/Sanya Juu. …

UKOO WA URIO/ORIO.

– Ukoo wa Urio/Orio ni kati ya koo kubwa, kongwe na maarufu sana miongoni mwa wachagga. Kwa uchaggani ukoo wa Urio/Orio unaaminika kwamba ulianzia Sanya Juu na uliweza kutoa watu mashuhuri katika historia kama Mzee Msanya ambaye anasemekana alihamia Meru kwa muda na kisha kurudi Sanya Juu na baadaye vizazi vyake kusambaa maeneo mengine ya …

KITABU CHA “MIAKA 700 YA WACHAGGA” KINAPATIKANA.

– Baada ya Safari Ndefu Iliyoambatana na Vikwazo na Changamoto Nyingi Hatimaye Tumefanikiwa Kukamilisha Uandishi na Uchapishwaji wa Kitabu Muhimu Kwa Wachagga cha “Miaka 700 Ya Wachagga”. Safari Imekuwa Ngumu Zaidi Ya Ilivyotegemewa Kutokana na Sababu Mbalimbali, Tunashukuru Kwamba Tumekamilisha. – Wote Tunajua Dhahiri Kwamba Kama Tusipochukua Hatua Sasa Hivi Historia Yetu Inakwenda Kupotea, Tena …