Urithi Wetu Wachagga. urithiwetuwachagga@gmail.com
Category: Makala
UFANANO WA MAJINA YA WATAWALA WA UCHAGGA KILIMANJARO. – 3
SEHEMU YA 3. 15. SIRIA. (i) Siria wa Siha/Sanya Juu alikuwa ni mtawala wa ukoo wa Kileo katika kijiji cha Samake(Samaki Maini) Siha/Sanya Juu akiwa ni mtoto wa Iranja aliyeishi katika miaka ya 1760’s. (ii) Siria wa Uru alikuwa ni Mangi wa himaya ndogo ya umangi Shimbwe katika himaya ya Uru. Siria akiwa ni mtoto …
UFANANO WA MAJINA YA WATAWALA WA UCHAGGA KILIMANJARO. – 2
SEHEMU YA 2. 8. NDEMASI. (i) Ndemasi wa Mwika alikuwa ni Mangi wa himaya ya umangi Mwika tangu mwaka 1900 mpaka mwaka 1933 alipomwachia kiti cha utawala mtoto wake aliyeitwa Herabdieli Solomon. Mangi Ndemasi Solomon wa Mwika ambaye ni mtoto wa Mangi Tengio na mjukuu wa Mangi Kyasimba ndiye Mangi aliyewahi kukimbilia uhamishoni Nairobi sambamba …
UFANANO WA MAJINA YA WATAWALA WA UCHAGGA KILIMANJARO. – 1
SEHEMU YA 1. Kumekuwepo kwa ufanano wa majina ya watawala wa Himaya za Umangi za Uchagga, Kilimanjaro kwa baadhi ya wamangi au watu wengine mashuhuri katika historia ya Kilimanjaro ambao kwa kiasi umekuwa ukiwachanganya watu ambao hawajaifuatilia historia kwa undani. Hata hivyo ufanano wa majina ya asili ya Uchagga, Kilimanjaro kwa himaya tofauti za Umangi …
CHAGGA VILLAGE TOUR.
Urithi Wetu Wachagga. urithiwetuwachagga@gmail.com
MOSHI YA MIAKA YA 1950’s
Nani Anakumbuka Jina La Hili Jengo na Jina La Hii Barabara? Mji wa Moshi Ukadumaa, Hii ni Miaka Ya 1950’s Lakini Mpaka Leo Eneo Hili Halina Utofauti Mkubwa, Japo ni Takriban Miaka 70 Sasa. Tukumbushane. Urithi Wetu Wachagga. urithiwetuwachagga@gmail.com
Мост бет обзор сайта Разбираемся в букмекерской конторе MostBe
Мост бет обзор сайта Разбираемся в букмекерской конторе MostBet Где получить промокод на Мостбет Официальный MostBet промокод Content БК Pin-Up: стоит ли игра свеч? Бонус за первый депозит в БК Mostbet Казино MostBet MostBet Депозиты и вывод средств Букмекер 1Win и его особенности Обзор букмекера Лига Ставок : бонусы, приложения, регистрация, техподдержка и другая информация …
CHAGGA DAY CELEBRATIONS 1957.
Video Hii Fupi Inaonyesha Maadhimisho Ya Sherehe za Sikukuu Ya Wachagga(Chagga Day Celebrations) Ya Mwaka 1957 Yakifanyika Moshi Mjini. Haya Maadhimisho Ya Mwaka 1957 Yalikuwa ni Moja Kati Ya Maadhimisho Ya Sherehe Hizo za Sikukuu Ya Wachagga(Chagga Day Celebrations) Yaliyokuwa Yakifanyika Kila Mwaka Siku Ya Tarehe 10/Novemba Katika Ikulu Ya Mangi Mkuu Moshi Mjini na …
KILIMANJARO RULERS GRAVESITES.(Chagga Historical Sites).
Petro Njau (MORENJA) Co-Founder of Kilimanjaro Chagga Citizens Union(KCCU). CHAGGA NATIONALISM MOVEMENT LEADER. Kijiji cha Mbwaruki, Moshi. Karibu na Kiboriloni. Urithi Wetu Wachagga. urithiwetuwachagga@gmail.com
KILIMANJARO RULERS GRAVESITES.(Chagga Historical Sites).
JOSEPH MERINYO MARO FAMILY GRAVESITE. CHAGGA NATIONALISM MOVEMENT LEADER. Kijiji cha Tsudunyi, Kolila, Old Moshi. Urithi Wetu Wachagga. urithiwetuwachagga@gmail.com