CHAGGA DAY CELEBRATIONS 1957.

Video Hii Fupi Inaonyesha Maadhimisho Ya Sherehe za Sikukuu Ya Wachagga(Chagga Day Celebrations) Ya Mwaka 1957 Yakifanyika Moshi Mjini.

Haya Maadhimisho Ya Mwaka 1957 Yalikuwa ni Moja Kati Ya Maadhimisho Ya Sherehe Hizo za Sikukuu Ya Wachagga(Chagga Day Celebrations) Yaliyokuwa Yakifanyika Kila Mwaka Siku Ya Tarehe 10/Novemba Katika Ikulu Ya Mangi Mkuu Moshi Mjini na Katika Maeneo Mengine Yote Ya Wamangi wa Maeneo Uchaggani Kote.

Kwa Bahati Mbaya Video Haina Sauti.

SIKUKUU YA WACHAGGA(CHAGGA DAY CELEBRATIONS) YA MWAKA 1957 MOSHI MJINI.

Urithi Wetu Wachagga

urithiwetuwachagga@gmail.com

You may also like...

Popular Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *