KIJIJI CHA KIMBUSHI, MACHAME.

– KKKT, DAYOSISI YA KASKAZINI. USHARIKA WA KIMBUSHI. – JIMBO KATOLIKI MOSHI. PAROKIA YA NTIRINI. – SHULE YA SEKONDARI NKUU. – SHULE YA MSINGI KIMBUSHI. – KIMBUSHI MONTESSORI. – THE HOSPICE MEDICAL CLINIC. Ukoo Mkubwa Zaidi Kimbushi. Ni SHOO Ukifuatiwa na LEMA, MBORO/MBONIKA, SWAI na MAKIRA. Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com

WACHAGGA NI KAMA WAYUNANI WA KALE.

*WACHAGGA NI KAMA WAYUNANI WA KALE.* Muundo na Mifumo Ya Kisiasa Ya Jamii Ya Wachagga Inafanana Kwa Karibu Sana na Muundo na Mifumo Ya Muundo na Mifumo Ya Kisiasa Ya Wayunani wa Kale. Nitajaribu Kueleza Ufananano Katika Kujaribu Kuongeza Pia Uelewa wa Mahusiano Ya Wachagga Baina Yao Wenyewe na Baina Yao na Watu Wengine. *WAYUNANI …

CHAGGA SPIRIT, “ARI YA WACHAGGA”

CHAGGA SPIRIT Nyakati Zimekuwa Zikibadilika Uchaggani Tangu Karne Nyingi Zilizopita na Wachagga Wamekuwa na Tabia Tofauti Kutokana Kwa Nyakati Tofauti Kutokana na Matukio Fulani Yaliyotokea na Kubadilisha Hali Ya Kisiasa Kilimanjaro na Kuhama Kwa Nguvu za Kisiasa Kutoka Eneo Moja Kwenda Jingine na Hata Ushawishi wa Kisiasa Kutoka Himaya Moja Kwenda Nyingine. Jinsi Hali Ya …

LUGHA YA WACHAGGA NI MOJA.

LUGHA YA WACHAGGA NI MOJA. – Kumekuwa na Utata wa Muda Mrefu Kuhusu Kama Wachagga Wanaongea Lugha Moja Au Ni Lugha Mbalimbali Tofauti, Jambo Ambalo Limeleta Utata Mwingine wa Kwamba Kama, Je Wachagga Ni Jamii Moja Au Ni Jamii Mbalimbali Zilizojikuta Zinaishi Kwenye Mlima Kilimanjaro na Kuamua Kujiita Kwa Pamoja Wachagga? – Jibu Ni Lugha …