KILIMANJARO CHAGGA KINGDOM RULERS (GRAVESITES).

– Mangi Gedion Nassua Mushi Dynasty, (Rulers of Siha/Sanya Juu Chiefdom). – Mangi John Gedion Mushi Family Gravesite, (Son & Heir of Mangi Gedion Nassua Mushi). – Mangi wa Mwisho wa Siha/Sanya Juu. – Generations of the Great Mangi Rengua Mushi of Machame. Kijiji cha Mae, Siha/Sanya Juu. Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com

Codere Será Este Nuevo Patrocinador Primary Del Club Cristalino River Plate, Scam Logo En El Frontal De Una Camiseta Yogonet Latinoaméric

Codere Será Este Nuevo Patrocinador Primary Del Club Cristalino River Plate, Scam Logo En El Frontal De Una Camiseta Yogonet Latinoamérica Codere México En Linkedin: #codere Content Novomatic Ocupa El Conforme Lugar En El Ranking De Cicatrices Más Valiosas Para Austria Por Habitacion Año Consecutivo Codere Será El Nuevo Patrocinador Principal Del Golf Club Argentino …

KWA NINI VIKUNDI VINGI VYA KIJAMII AU TAASISI ZA KIJAMII ZINAZOANZISHWA HAZIFIKII MALENGO YA KIUCHUMI?

– Wachagga wamekuwa wakianzisha vikundi mbalimbali vya kijamii vyenye malengo tofauti tofauti tangu zamani sana japo mara nyingi lengo kuu huwa ni kujiwekeza kiuchumi na kuvuna faida kwa manufaa ya wanachama wa kikundi au taasisi husika. – Lakini kwa bahati mbaya vikundi vingi au taasisi hizi za kijamii huwa hazifikii malengo na nyingi hufa ndani …

ASILI/CHANZO CHA HALI YA UZALENDO KWA JAMII/TAIFA/KABILA/KUNDI LA KIJAMII AMBALO MTU ANATOKEA NA LINALOMPA UTAMBULISHO FULANI.

– Tabia nyingi za asili tulizonazo binadamu haziko kwa bahati mbaya kwani nyingi zina chanzo chake na sababu muhimu sana katika maisha yetu, lakini ni mara chache sana watu huelewa chanzo na sababu hizo kwa mambo husika. – Kupitia mabadiliko ya binadamu kihistoria tangu zama za zamani kabisa (prehistoric times) katika kipindi kinachofikia mpaka mamia …

KATIKA MWAMKO HUU WA JAMII MBALIMBALI DUNIANI KURUDI KUWEKA KIPAUMBELE KWENYE TAMADUNI ZAO ZA ASILI WACHAGGA TUMEJIANDAAJE?

– Dunia inaendelea kuamka kwa kasi sana na taarifa nyingi muhimu zilizokuwa zimejificha au kufichwa kwa makusudi zinaendelea kuwa hadharani siku hadi siku. Licha ya kwamba usumbufu wa kiteknolojia hususan unaoletwa na simu janja za mikononi(smartphones) umekuwa ni kikwazo kikubwa kwa watu kuweka umakini wao kwenye mambo yanayohitaji utulivu na tafakari za kina lakini bado …