CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI – MOCU.
Maarufu Kama Chuo Cha Ushirika Moshi, Ni Chuo Cha Zamani Kuliko Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Kilichojengwa Na Iliyokuwa “Serikali Ya Wachagga” Kupitia Chama Cha Ushirika Cha Wachagga “KNCU” Kabla Tanganyika Haijawa Nchi.
Chuo Kikuu Cha Ushirika Moshi Kikiwa Ndio Taasisi Ya Kwanza Ya Elimu Ya Juu Tanganyika Kilijengwa, Kwa Ajili Ya Wanafunzi Wa Uchagga Kusoma Elimu Ya Biashara Na Ushirika Ili Kuleta Mapinduzi Makubwa Zaidi Kwa Uchumi Wa Kilimanjaro Uliokuwa Unakuwa Kwa Kasi Kiasi Cha Kuteka Umakini Wa Vyombo Vya Habari Vya Nchi Za Magharibi.
Urithi Wetu Wachagga
urithiwetuwachagga@gmail.com