– Silayo ni ukoo mkubwa kichagga na maarufu sana wa wachagga unaopatikana kwa wingi sana upande wa kuanzia mwishoni mwa mashariki ya kati mpaka mashariki ya mbali kabisa ya Uchagga, Kilimanjaro. Wachagga wa ukoo wa Silayo wamesambaa sana ndani na nje ya Kilimanjaro na hata nje ya nchi wakiwa wanafanya vizuri sana katika nyanja mbalimbali za maisha hususan biashara na ujasiriamali.
– Kutoka kwenye historia Silayo inaonekana kuwa na uwezekano wa kuwa na chimbuko lake katika eneo la Ngaseni, Usseri, Rombo ambayo zamani ilikuwa ni himaya iliyokuja kuingizwa ndani ya himaya ya umangi Usseri na baadaye kusambaa katika maeneo mengine. Historia inaonyesha kwamba Silayo ni tawi la ukoo mkubwa na mkongwe zaidi katika ardhi ya Kilimanjaro wenye chimbuko lake katika eneo kongwe la Ngasseni wenye historia inayofika karibu miaka 1,500 iliyopita huku tawi la ukoo wa Silayo likionekana kuchepuka na kuwa ukoo kamili kwa wastani wa takriban miaka 1,100 iliyopita kupitia kuhesabu vizazi. Hii ni historia ya zamani sana katika Kilimanjaro yote kupitia jamii ya watu wa Ngasseni.
– Ukoo wa Silayo ni moja kati ya koo zinazopatikana kwa wingi sana upande wa mashariki Uchagga, Kilimanjaro ukiwa unapatikana kwa wingi sana kwenye vijiji vingi na kwa uchache kwenye vijiji vingine vingi pia. Ukoo wa Silayo umesambaa na kuongezeka sana na kupatikana kwenye vijiji mbalimbali mpaka sasa.
– Ukoo wa Silayo unapatikana kwa wingi sana katika kijiji cha Shimbwe, Uru.
– Ukoo wa Silayo unapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Kokirie, Mamba.
– Ukoo wa Silayo unapatikana kwa wingi kiasi katika kijiji cha Kondeni, Mwika.
– Ukoo wa Silayo unapatikana kwa uchache katika kijiji cha Matala, Mwika.
– Ukoo wa Silayo unapatikana kwa uchache sana katika kijiji cha Maring’a, Mwika.
– Ukoo wa Silayo unapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Kerio, Mashati, Rombo.
– Ukoo wa Silayo unapatikana kwa wingi kiasi katika kijiji cha Keni, Kirwakeni, Mashati, Rombo.
– Ukoo wa Silayo unapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Kirua, Kirwakeni, Mashati, Rombo.
– Ukoo wa Silayo unapatikana kwa uchache katika kijiji cha Mrere, Mashati, Rombo.
– Ukoo wa Silayo unapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Kisale, Mashati, Rombo.
– Ukoo wa Silayo unapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Mahorosha, Mashati, Rombo.
– Ukoo wa Silayo unapatikana kwa wingi kiasi katika kijiji cha Marangu, Olele, Rombo.
– Ukoo wa Silayo unapatikana kwa wingi kiasi katika kijiji cha Kitowo, Olele, Rombo.
– Ukoo wa Silayo unapatikana kwa wingi katika kijiji cha Kirongo Juu, Usseri, Rombo.
– Ukoo wa Silayo unapatikana kwa wingi sana katika kijiji cha Samanga, Usseri, Rombo.
– Ukoo wa Silayo unapatikana kwa wingi kiasi katika kijiji cha Kirongo Chini, Usseri, Rombo.
– Ukoo wa Silayo unapatikana kwa wingi kiasi katika kijiji cha Kiwanda, Usseri, Rombo.
– Ukoo wa Silayo unapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Sangasa, Usseri, Rombo.
– Ukoo wa Silayo unapatikana katika kijiji cha Msinga, Usseri, Rombo.
– Ukoo wa Silayo unapatikana katika kijiji cha Lesoroma, Usseri, Rombo.
– Ukoo wa Silayo unapatikana kwa wingi katika kijiji cha Kwalakamu, Usseri, Rombo.
– Ukoo wa Silayo unapatikana kwa wingi sana katika kijiji cha Ubetu, Usseri, Rombo.
– Ukoo wa Silayo unapatikana kwa wingi kiasi katika kijiji cha Ngasseni, Usseri, Rombo.
– Ukoo wa Silayo unapatikana kwa wingi kiasi katika kijiji cha Kahe, Usseri, Rombo.
– Ukoo wa Silayo unapatikana kwa wingi kiasi katika kijiji cha Wama, Usseri, Rombo.
– Ukoo wa Silayo unapatikana kwa wingi sana katika kijiji cha Ture, Usseri, Rombo.
– Ukoo wa Silayo unapatikana kwa wingi kiasi katika kijiji cha Leto, Usseri, Rombo.
– Ukoo wa Silayo unapatikana kwa wingi sana sana sana katika kijiji cha Msangai, Tarakea, Rombo.
– Ukoo wa Silayo unapatikana kwa wingi sana sana sana katika kijiji cha Kibaoni, Tarakea, Rombo.
– Ukoo wa Silayo unapatikana kwa wingi sana sana katika kijiji cha Nayeme, Tarakea, Rombo.
– Ukoo wa Silayo unapatikana kwa wingi katika kijiji cha Mbomai, Tarakea, Rombo.
– Ukoo wa Silayo unapatikana kwa wingi sana katika kijiji cha Kikelelwa, Tarakea, Rombo.
Tunahitaji kufahamu zaidi kuhusu ukoo wa Silayo na ukongwe wake Uchaggani, Kilimanjaro hususan upande wa Mashariki ya mbali ya Uchagga, Kilimanjaro. Namna matawi yake yamesambaa mpaka maeneo ya Vunjo na historia zaidi ya kule ulikotoka. Tunahitaji kuwa na maudhui mengi zaidi ya ukoo wa Silayo katika maktaba ya ukoo huu na wachagga kwa ujumla ili kuongeza hamasa na mshakamano wa kuweka bidii zaidi katika maisha baada ya kuendelea kujitambui kwa ngazi ya mtu mmoja mmoja, ukoo na jamii nzima ya wachagga.
Karibu kwa Maoni zaidi, nyongeza na ufafanuzi zaidi kuhusu ukoo wa Silayo katika kuongeza zaidi maudhui ya ukoo huu.
Karibu kwa mchango zaidi wa Mawazo kuhusu ukoo wa Rombo.
1. Je, unafahamu nini kuhusiana na ukoo wa Silayo?
2. Unafikiri ni kijiji gani ambacho kimesahaulika kutajwa lakini kuna ukoo wa Silayo?
3. Kijijini kwenu kuna ukoo wa Silayo?
4. Kama wewe ni wa ukoo wa Silayo una nini cha kutuambia kuhusu ukoo wenu?
5. Huwa mna maadhimisho yoyote au sherehe za ukoo mwezi gani?
6. Wewe ni Silayo wa kutokea kijiji gani?
7. Bado kuna ushirikiano wowote katika matukio mbalimbali muhimu na ndugu zenu wengine wa matawi ya ukoo wa Silayo kutoka maeneo mengine ya Uchaggani?
8. Ni tabia gani unazozifahamu za wachagga wa ukoo wa Silayo?
9. Wanawake wa ukoo wa Silayo huitwaje, na kwa nini?
10. Una rafiki yako yeyote wa kutokea kwenye ukoo wa Silayo?
11. Ni watu gani mashuhuri unaowafahamu kutoka kwenye ukoo wa Silayo?
12. Kuna mnyama yeyote ambaye labda ni mwiko kuliwa na wachagga wa ukoo wa Silayo?
13. Kuna ukoo ambao hawaruhusiwi kuoana na Wako-Silayo kwa sababu zilizowahi kuwepo miaka ya zamani au nyingine zozote?
Karibu kwa Mchango zaidi au maswali.
Ahsanteni.
Kesho tutaendelea na ukoo mwingine.
Urithi Wetu Wachagga (Facebook).