UKOO WA URONU.

– Uronu ni ukoo wa wachagga wanaopatikana maeneo ya magharibi ya kati ya Uchaga, Kilimanjaro. Ukoo huu nao kuna tetesi kwamba ni sehemu ya zile koo zilizotokana na ukoo mkubwa kabisa Kilimanjaro uliogawanyika na kutengeneza koo nyingi sana, ukoo wa Mboro.

– Wachagga wa ukoo wa Uronu wanapatikana zaidi katika vijiji vichache lakini ni watu wanaofanya vizuri sana katika ujasiriamali na biashara. Wengine zaidi wako nje ya Kilimanjaro na nje ya nchi kwa shughuli mbalimbali tofauti tofauti.

– Ukoo wa Uronu katika maeneo haya ya magharibi ya kati ya Uchagga wanapatikana kwa wingi na kwa uchache katika vijiji kadhaa.

– Ukoo Uronu unapatikana kwa wingi sana sana katika kitongoji cha Lambo Estate, Kijiji cha Nshara, Machame.

– Ukoo wa Uronu unapatikana kwa wingi sana sana sana katika kijiji cha Nshara, Machame.

Karibu kwa Maoni zaidi, nyongeza na ufafanuzi zaidi kuhusu ukoo wa Uronu katika kuongeza zaidi maudhui ya ukoo huu.

Karibu kwa mchango zaidi wa Mawazo kuhusu ukoo wa Uronu.

1. Je, unafahamu nini kuhusiana na ukoo wa Uronu?

2. Unafikiri ni kijiji gani ambacho kimesahaulika kutajwa lakini kuna ukoo wa Uronu?

3. Kijijini kwenu kuna ukoo wa Uronu?

4. Kama wewe ni wa ukoo wa Uronu una nini cha kutuambia kuhusu ukoo wenu?

5. Huwa mna maadhimisho yoyote au sherehe za ukoo mwezi gani?

6. Wewe ni Uronu wa kutokea kijiji gani?

7. Bado kuna ushirikiano wowote katika matukio mbalimbali muhimu na ndugu zenu wengine wa matawi ya ukoo wa Uronu kutoka maeneo mengine ya Uchaggani?

8. Ni tabia gani unazozifahamu za wachagga wa ukoo wa Uronu?

9. Wanawake wa ukoo wa Uronu huitwaje, na kwa nini?

10. Una rafiki yako yeyote wa kutokea kwenye ukoo wa Uronu?

11. Ni watu gani mashuhuri unaowafahamu kutoka kwenye ukoo wa Uronu?

12. Kuna mnyama yeyote ambaye labda ni mwiko kuliwa na wachagga wa ukoo wa Uronu?

13. Kuna ukoo ambao hawaruhusiwi kuoana na Wako-Uronu kwa sababu zilizowahi kuwepo miaka ya zamani au nyingine zozote?

Karibu kwa Mchango zaidi au maswali.

Ahsanteni.

Kesho tutaendelea na ukoo mwingine.

www.wachagga.com

Urithi Wetu Wachagga (Facebook).

You may also like...

Popular Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *