BARABARA YA MANGI RINDI MOSHI MJINI

RINDI LANE STREET Ni Moja Ya Mitaa Moshi Mjini Unaoanzia Opp. Uhuru Park, Unapita St. Jose College, Kisha Kibo Tower Na Kuishia Opp. Barabara Ya Idara Ya Maji, Ni Mtaa Uliopewa Jina Hili Kwa Heshima Ya Mangi Rindi Mandara. MANGI RINDI MANDARA MOSHI -Alikuwa Mangi wa Old Moshi 1860 – 1891 -Ni Mangi Aliyewahi Kuwa …

WACHAGGA NA MTI MTAKATIFU WA ISALE

MCHAGGA HALISI Popote Utakapoweka Makazi Lazima Uoteshe Masale Kuashiria Ni Makazi Ya Mchagga Na Kutujulisha Wachagga Wenzako Kwamba Wewe Ni Mwenzetu. Jani La Isale Limetufanyia Mengi Sana, Limesaidia Kutatua Migogoro Na Vita Ambazo Kama Zingepiganwa Pengine Babu Yako Ambaye Wewe Umetokea Kwenye Vizazi Vyake Angepoteza Maisha Kwenye Vita Hiyo Na Wewe Usingekuwepo Leo. Hata Uhasama …

KILIMANJARO NATIVE COOPERATIVE UNION(KNCU)

Ndio Chama Cha Ushirika Kikongwe Zaidi Barani Africa Kikiwa Kimeanzishwa 1930. Watu Kutoka Maeneo Mbalimbali Afrika Walikuwa Wanakuja Moshi Kujifunza Namna Ya Kuendesha Vyama Vya Ushirika Kimafanikio. Hata Hivyo Baada Ya Tanganyika Kuwa Nchi Na KNCU Kuingiliwa Sana Na Wanasiasa Sambamba Na Mfumo Mbovu Wa Kisiasa KNCU Kilidhoofika Sana Wakati Vyama Vilivyokuja Kujifunza Ushirika Kupitia …

“KWETU MOSHI”

Mlima Mrefu Kuliko Yote Duniani Ulioanzia Katika Usawa Wa Bahari (The Highest Freestanding Mountain In The World). Mlingoti Mkubwa Kuliko Yote Katika Bara Zima La Afrika. TUKO JUU!!! Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com. Whatsapp +255 754 584 270

MAGAZETI YA WACHAGGA – KILIMANJARO

Yalikuwepo Magazeti Mawili Ya Lililokuwa Taifa La Wachagga, “KOMKYA” Na “KUSARE”. “KOMKYA” ikimaanisha “Kumekucha” Na “KUSARE” ikimaanisha “Tafakari”. Ni Magazeti Yaliyokuwa Yanatangaza Vizuri Utamaduni Na Habari Za Wachagga Katika Kila Nyanja Ya Maisha Na Kuimarisha Sana Mshikamano Na Umoja Wa Taifa La Wachagga. KOMKYA Lilikuwa Maarufu Zaidi. Urithi Wetu Wachagga Whatsapp +255 754 584 270 …