*Maisha Ya Mchagga Hapa Duniani Na Ahera” By Mangi Petro Itosi Marealle* Uchambuzi by Mary Assenga. NDOA -Wachagga ni watu wa jamii moja na taifa moja lenye watu wa koo mbalimbali, nao wameishi kwa kuchanganyika sana toka karne nyingi zilizopita. Kwa hiyo desturi na kanuni za maisha yao ni moja katika maeneo yote ya Uchagga …
Category: Makala
UCHAMBUZI WA KITABU. – SEHEMU YA 5.
*Maisha Ya Mchagga Hapa Duniani Na Ahera” By Mangi Petro Itosi Marealle* Uchambuzi by Mary Assenga. MAFUNDISHO YA SHIGHA NA MREGHO. -Msichana anapoendelea kukua alifundishwa mambo mbalimbali ya kuhusu nafasi yake kama mwanamke hasa katika ndoa, mafundisho haya yaliitwa “shigha” na “mregho” ambapo waliweza kujifunza mambo mengi ambayo yaliwasaidia katika maisha yao. Msichana ambaye hakufundishwa …
UCHAMBUZI WA KITABU. – SEHEMU YA 4.
*Maisha Ya Mchagga Hapa Duniani Na Ahera” By Mangi Petro Itosi Marealle* Uchambuzi by Mary Assenga. MAFUNDISHO AMBAYO BABU NA BIBI WAFUNDISHAYO WATOTO KAMA HAWA WAKATI HUU WA USIKU NI KAMA HAYA;- Hiki ni kichagga cha zamani kidogo kwa hiyo kuna baadhi ya misamiati imeshamezwa sana na Kiswahili kwa siku hizi, hivyo usijali sana kama …
UCHAMBUZI WA KITABU. – SEHEMU YA 3.
*Maisha Ya Mchagga Hapa Duniani Na Ahera” By Mangi Petro Itosi Marealle* Uchambuzi by Mary Assenga. KUMCHAGULIA MTOTO JINA. -Mtoto akifikisha umri huu baba na mama humchagulia jina. Basi mtoto mzaliwa wa kwanza ikiwa babu yake ni marehemu huitwa jina la babu wa upande wa baba, na ikiwa babu yake yu hai ataitwa jina la …
UCHAMBUZI WA KITABU. – SEHEMU YA 2.
*Maisha Ya Mchagga Hapa Duniani Na Ahera” By Mangi Petro Itosi Marealle* Uchambuzi by Mary Assenga. Utaratibu Uliofutwa Kabla Ya Kuzaliwa Mtoto; -Kabla Ya Mtu Kuoa kwa desturi alichagua mke wa umbo na sura nzuri aliye wa ukoo bora au ukoo wa watu makini wasio na matatizo ya asili kama vile magonjwa na mambo mengine …
UCHAMBUZI WA KITABU. – SEHEMU YA 1
*Maisha Ya Mchagga Hapa Duniani Na Ahera” By Mangi Petro Itosi Marealle* (Usisahau Ku-share). Uchambuzi by Mary Assenga. Mangi Petro Itosi Marealle Alikuwa Mangi Mwitori Wa Vunjo, Uchagga. Baba Yake Alikuwa Ni Mangi Ndegoruo Kilamia “Marealle”, Aliyekuwa Mangi Wa Marangu Ambaye Alikuwa Mtoto Wa Mangi Ndaalio Mjukuu wa Mangi Itosi. Mangi Petro Itosi Marealle Aliyekuwa …
UKOO WA KIMEI.
– Kimei ni ukoo wa wachagga wanaopatikana kwa wingi zaidi katika lote la mashariki ya kati ya Uchagga, Kilimanjaro. Ukoo wa Kimei ni ukoo wenye watu makini na wanaofanya vizuri katika maeneo na tasnia mbalimbali tangu zamani sana mpaka sasa. Huu ni ukoo wenye watu wanaopenda kujituma sana na hivyo kupata matokeo makubwa katika yale …
UKOO WA KAALE.
– Kaale ni ukoo wa wachagga wanaopatikana katika maeneo ya mwishoni mwa ukanda wa mashariki ya kati ya Uchagga, Kilimanjaro. Ukoo wa Kaale sio ukoo mkubwa wala unaopatikana maeneo mengi lakini ni ukoo wa watu makini wanaofanya vizuri sana kitaaluma na kwenye biashara na ujasiriamali. – Wako wachagga wengi wa ukoo wa Kaale wanaofanya vizuri …
UKOO WA NYANGE.
Nyange ni ukoo wa kichagga unaopatikana kwa wingi katika ukanda wa maeneo ya magharibi ya kati, mashariki ya karibu, mashariki ya kati na mashariki ya mbali ya Uchagga, Kilimanjaro. Huu ni ukoo wenye historia kubwa sana na ya kipekee katika nchi ya Uchagga, Kilimanjaro. Ukoo wa Nyange ni ukoo wenye watu wengi mashuhuri na wanaofanya …
KILIMANJARO NYUMBANI
Urithi Wetu Wachagga. Whatsapp +255 754 584 270