UKOO WA URIO/ORIO.

– Ukoo wa Urio/Orio ni kati ya koo kubwa, kongwe na maarufu sana miongoni mwa wachagga. Kwa uchaggani ukoo wa Urio/Orio unaaminika kwamba ulianzia Sanya Juu na uliweza kutoa watu mashuhuri katika historia kama Mzee Msanya ambaye anasemekana alihamia Meru kwa muda na kisha kurudi Sanya Juu na baadaye vizazi vyake kusambaa maeneo mengine ya …

MZEE WA MWISHO ALIYEBAKI.

MZEE WA MWISHO ALIYEBAKI. – Mzee Pauli Shirima maarufu kama Mzee Lekramu mwenye umri wa miaka 95 anaishi katika kijiji cha Ngaseni, Usseri, Rombo. Mzee huyu Pauli Shirima akiwa na mke wake Masilayo ndiye Mzee wa mwisho uchaggani aliyebaki ambaye anaweza kuongea lugha ya Kingassa kwa ufasaha. Mzee Lekramu anaongea lugha tatu kwa ufasaha kabisa …

JE, WAZEE/VIONGOZI AU WATANGULIZI WETU WALIOKUWA NA MAONO MAKUBWA NA KUANZISHA, WANAPEWA HESHIMA INAYOWASTAHILI?

– (Au Tunafikiri Taasisi Hizi Zilishuka Tu Kutoka Mbinguni?). 1. Picha Na. 1, 2 na 3 Inaonyesha Waasisi Waliojenga Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi Kwenye Miaka Ya 1940’s/1950’s Katika Juhudi za Kuleta Maendeleo Makubwa Kwa Jamii Yao. Kikiwa Ndio Taasisi Ya Mwanzoni Kabisa Ya Elimu Ya Juu Tanganyika. 2. Picha Na. 4, 5 na 6 …

Código Promocional Para Codere México 2023: ¿cómo Es El Bono De Bienvenida De Codere

Código Promocional Para Codere México 2023: ¿cómo Es El Bono De Bienvenida De Codere? Codere Registro: Triple Bono Escalonado De Hasta $5 500 Mxn Content ¿es Fácil Apostar En Deportes Y Casino Con Este Bono? Otras Promociones Disponibles Paso A Paso Para Adquirir Un Bono De Bienvenida Codere México ¿puedo Seguir Seguro De Apostar Con …

TUANDIKE KUHUSU KOO ZETU.

Wachagga ni jamii yenye watu wengi sana na ni moja kati ya makabila/jamii kubwa na maarufu sana Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla. Kupitia Fasihi/Literature wachagga ni kati ya makabila maarufu sana Afrika. Na kabla ya uhuru wa Tanganyika wachagga walikuwa ni kati ya jamii chache zilizokuwa zinaongoza kwa maendeleo makubwa sana sio tu kwa …