KWA NINI VIKUNDI VINGI VYA KIJAMII AU TAASISI ZA KIJAMII ZINAZOANZISHWA HAZIFIKII MALENGO YA KIUCHUMI?

– Wachagga wamekuwa wakianzisha vikundi mbalimbali vya kijamii vyenye malengo tofauti tofauti tangu zamani sana japo mara nyingi lengo kuu huwa ni kujiwekeza kiuchumi na kuvuna faida kwa manufaa ya wanachama wa kikundi au taasisi husika. – Lakini kwa bahati mbaya vikundi vingi au taasisi hizi za kijamii huwa hazifikii malengo na nyingi hufa ndani …

ASILI/CHANZO CHA HALI YA UZALENDO KWA JAMII/TAIFA/KABILA/KUNDI LA KIJAMII AMBALO MTU ANATOKEA NA LINALOMPA UTAMBULISHO FULANI.

– Tabia nyingi za asili tulizonazo binadamu haziko kwa bahati mbaya kwani nyingi zina chanzo chake na sababu muhimu sana katika maisha yetu, lakini ni mara chache sana watu huelewa chanzo na sababu hizo kwa mambo husika. – Kupitia mabadiliko ya binadamu kihistoria tangu zama za zamani kabisa (prehistoric times) katika kipindi kinachofikia mpaka mamia …

KATIKA MWAMKO HUU WA JAMII MBALIMBALI DUNIANI KURUDI KUWEKA KIPAUMBELE KWENYE TAMADUNI ZAO ZA ASILI WACHAGGA TUMEJIANDAAJE?

– Dunia inaendelea kuamka kwa kasi sana na taarifa nyingi muhimu zilizokuwa zimejificha au kufichwa kwa makusudi zinaendelea kuwa hadharani siku hadi siku. Licha ya kwamba usumbufu wa kiteknolojia hususan unaoletwa na simu janja za mikononi(smartphones) umekuwa ni kikwazo kikubwa kwa watu kuweka umakini wao kwenye mambo yanayohitaji utulivu na tafakari za kina lakini bado …

NAMNA PEKEE YA KUEPUKA UKUU WA KITAMADUNI WA KIGENI (FOREIGN CULTURAL SUPERIORITY) NI KURUDI KWENYE JAMII/MAKABILA YETU.

– Kumeendelea kuwa na mwamko wa baadhi ya watu na jamii mbalimbali duniani ambao wameendelea kuamka na kujitambua kwa kufahamu kule tulikotoka na kugundua kwamba mifumo yetu karibu yote tuliyonayo ya kijamii, kiuchumi na hata kisiasa ni ya kigeni. Jambo hili limekuwa likiwakereketa baadhi ya watu wenye kujali kuhusu vile tunavyotazamwa na wale ambao tumeazima …

MAPENDEKEZO YA PROF. R. SAMBULI MOSHA JUU YA UHIFADHI NA MATUMIZI YA ELIMU YA ASILI.

Kutokana na mapungufu makubwa yaliyopo katika mfumo wa elimu ya kisasa iliyoletwa na mfumo wa elimu wa magharibi na kuendelezwa na serikali zilizoendelea ambao unazingatia elimu ya akili peke yake(intellectualism) na kupuuza elimu ya kiroho(spirituality) na hivyo kushindwa kukidhi mahitaji ya kijamii kama ilivyokuwa kwa mfumo wa elimu ya asili ambao ulizingatia uwiano sawa wa …

Noticias De Comisión De Integración De Personas Con Discapacida

Noticias De Comisión De Integración De Personas Con Discapacidad Codere Implementó Una Nueva Aplicación Para La Gestión De Elementos Humanos Yogonet Latinoamérica Content Tips Pra Apostar Responsablemente Mucama Con Experiencia En Cocina En Geriátrico Inclusive 40 Años Argentina: Stop Oasis Pilar Sony Ericsson Renueva Con 70 Nuevas Máquinas Sumado A 12 Pozos Progresivos En El …