MIAKA 700 YA WACHAGGA.

Miaka 700 Ya Wachagga Ni Mfululizo wa Baadhi Ya Makala Za Historia Ya Wachagga Kwa Wastani wa Kipindi Cha Miaka 700 Kwa Kadiri Tulivyojaliwa Kukusanya Taarifa Kutoka Kwenye Vyanzo Mbalimbali. Ni Kazi Iliyochukua Muda Mrefu na Kuhusisha Kusoma Vitabu Vingi, Kudadisi, Kutafiti, Kutafakari na Kujadili Matukio Mbalimbali Ya Kihistoria Kuhusu Kilimanjaro na Wachagga. Watu Mbalimbali …

TUNAHITAJI KUWA “SERIOUS” ZAIDI KATIKA HILI AU KUNA SHERIA ZINAZOTUBANA?

– Wakati Mwingine Kutojua Historia na Kutojihangaisha Kufuatilia Mambo Yanayowahusu Huwa Ni Chanzo cha Jamii Kujisahau Sana. Hivi Tunajua Kwamba Ni Njia Ya Marangu Pekee Katika Kupanda Mlima Kilimanjaro Ambayo Ina Hotels(Huts) za Kufikia? Njia Nyingine Kupanda Mlima Kilimanjaro Unapaswa Kupanda na Mahema Ya Kubeba. Lakini Ajabu Zaidi Ni Kwamba Hizo Huts Zenyewe Zilizopo Njia …

UMUHIMU WA KUFAHAMU HISTORIA.

B. H. Liddell Hart, Aliyekuwa Mwanajeshi Katika Jeshi La Uingereza Aliyeshiriki Katika Vita Ya Kwanza Ya Dunia 1914 – 1918 na Vita Ya Pili Ya Dunia 1939 – 1945 Ameandika Kitabu Kilichopata Umaarufu Kama (Why Don’t We Learn From History?), Akimaanisha, (Kwa Nini Hatujifunzi Kutoka Kwenye Historia?) Liddell Hart Anasema Tofauti na Wengi Wanavyochukulia Kufahamu …