MANGI LEMNGE KUIMBERE MOSHI WA MAMBA

Pichani kushoto ni Mangi Lemnge Kwimbere (baba yangu)aliyekuwa Mangi wa Mamba kuanzia miaka ya katikati ya 1930 hadi miaka ya 1950 alipochaguliwa kuwahead chief wa Vunjo kabla ya kuanza cheo cha Mwitori.Kulia ni baba yake Mangi Kwimbere Mlawi..aliyepokea umangi kwa Ukyekekyi Mlawi.

HUYU NI MANGI KUIMBERE, AMBAYE NI MTOTO WA MANGI MLAWI WA MAMBA.

Kwimbere ndiye aliyewapa Wamisionari eneo la Ashira mahali palipokuwa wakitupwa watu waliokufa (maiti).

HUYU NI MANGI LEMNGE MOSHI AMBAYE NI MTOTO WA MANGI KUIMBERE.

Sababu za kuwapeleka pale ni ili na wao wafikwe na balaa wafe. (Kwa kujisomea zaidi kuhusu hili ingia Google chapa “Koimbere” utapata maelezo zaidi).Wamishionari wa kwanza wa Kilutheri waliokuja maeneo haya ya kwetu walifika kwake pale Mamba Kotela.

Urithi Wetu Wachagga

You may also like...

Popular Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *