UKOO WA SIAO.

– Ukoo wa Siao ni ukoo wa Wachagga wanaopatikana upande wa magharibi ya Kilimanjaro. Huu ni ukoo ambao sio maarufu sana lakini unapatikana kwa kiasi kwenye baadhi ya vijiji.

– Wachagga wa ukoo wa Siao wanapatikana Masama magharibi katika kijiji cha Lukani na vijiji jirani. Hakuna taarifa nyingi zinazopatikana juu ya makazi ya asili Uchaggani kuhusu ukoo huu wa kipekee sana magharibi ya Kilimanjaro. Hivyo tunaomba mchango wa mawazo kuhusu taarifa zaidi kuhusiana na ukoo wa Siao.

1. Je, unafahamu nini kuhusiana na ukoo wa Siao?

2. Unafikiri ni kijiji gani ambacho kimesahaulika kutajwa lakini kuna ukoo wa Siao?

3. Kijijini kwenu kuna ukoo wa Siao?

4. Kama wewe ni wa ukoo wa Siao una nini cha kutuambia kuhusu ukoo wenu? Huwa mna maadhimisho yoyote au sherehe za ukoo mwezi gani? Wewe ni Siao wa kutokea kijiji gani?

5. Bado kuna ushirikiano wowote katika matukio mbalimbali muhimu na ndugu zenu wengine wa matawi ya ukoo wa Siao kutoka maeneo mengine ya Uchaggani?

6. Ni tabia gani unazozifahamu za wachagga wa ukoo wa Siao?

7. Wanawake wa ukoo wa Siao huitwaje?

8. Una rafiki yako yeyote wa ukoo wa Siao?

9. Watu gani mashuhuri unaowafahamu kutoka kwenye ukoo wa Siao?

Karibu kwa Maoni na Maswali.

Kesho tutaendelea na ukoo mwingine.

Whatsapp +255 754 584 270

You may also like...

Popular Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *