UKOO WA ASSENGA.

– Assenga ni ukoo mkubwa sana wa wachagga unaopatikana kwa wingi kwenye vijiji mbalimbali vya Uchagga Kilimanjaro maeneo ya katikati ya Uchagga na kwa wingi zaidi upande wa mashariki. Wachagga wa ukoo wa Assenga wanafahamika kwa kujiamini na kujituma sana katika nyanja mbalimbali ndani na nje ya nchi. Baadhi ya maeneo ya Rombo ukoo wa Assenga utajwa kama moja ya ukoo unaotoa matajiri wengi na watu wanaofanya vizuri sana katika ujasiriamali kwa ujumla.

– Kutoka kwenye historia ukoo wa Assenga unaopatikana Kirua Vunjo unatajwa kama ukoo uliokuwa na wachagga wasomi wa mila na tamaduni na historia za wachagga Kilimanjaro. Ukoo huu huko Kibosho ulikuwa pia ni kati ya koo zilizokuwa zinatoa wanajeshi majasiri na wenye uwezo mkubwa sana vitani miaka ya zamani. Wengi wao wakiwa ni watu wajeuri na wenye kujiamini sana.

– Wachagga wa ukoo wa Assenga waliendelea kusambaa katika vijiji zaidi vya Uchaggani na hivyo wanapatikana kuanzia upande wa mashariki Kibosho katika kijiji cha Kirima Juu, Kibosho.

– Ukoo wa Assenga wanapatikana kwa wingi katika kijiji cha Kirima Kati, Kibosho.

– Ukoo wa Assenga wanapatikana kwa wingi katika kijiji cha Boro, Kibosho.

– Ukoo wa Assenga wanapatikana kwa wingi katika kijiji cha Singa Juu, Kibosho.

– Ukoo wa Assenga wanapatikana kwa wingi katika kijiji cha Singachini, Kibosho.

– Ukoo wa Assenga wanapatikana kwa uchache sana katika kijiji cha Tella, Old Moshi.

– Ukoo wa Assenga wanapatikana kwa uchache sana katika kijiji cha Kikarara, Old Moshi.

– Ukoo wa Assenga wanapatikana kwa uchache sana Kirua, Vunjo.

– Ukoo wa Assenga wanapatikana kwa wingi katika vijiji vya kata ya Mahida, Mamsera, Rombo.

– Ukoo wa Assenga wanapatikana kwa wingi sana katika kijiji cha Mamsera Kati, Mamsera, Rombo.

– Ukoo wa Assenga wanapatikana kwa wingi katika kijiji cha Mengwe Juu, Mengwe, Rombo.

– Ukoo wa Assenga wanapatikana kwa wingi sana sana katika kijiji cha Ngareni, kata ya Ngoyoni, Mengwe, Rombo.

– Ukoo wa Assenga wanapatikana kwa wingi sana sana sana katika kijiji cha Ngoyoni, Mengwe, Rombo.

– Ukoo wa Assenga wanapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Manda Juu, Mengwe, Rombo.

– Ukoo wa Assenga wanapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Manda chini, Mengwe, Rombo.

– Ukoo wa Assenga wanapatikana kwa wingi katika kijiji cha Mengeni chini, Keni, Rombo.

– Ukoo wa Assenga wanapatikana kwa wingi katika kijiji cha Shimbi Masho, Shimbi, Mkuu, Rombo.

– Ukoo wa Assenga wanapatikana kwa uchache sana katika kijiji cha Shimbi Mashami, Shimbi, Mkuu, Rombo.

– Ukoo wa Assenga wanapatikana kwa wingi sana katika kijiji cha Maharo, Mkuu, Rombo.

– Ukoo wa Assenga wanapatikana kwa wingi sana katika kijiji cha Mokala, Mkuu, Rombo.

– Ukoo wa Assenga wanapatikana kwa wingi sana katika kijiji cha Ubaa, Ushiri, Mkuu, Rombo.

– Ukoo wa Assenga unapatikana kwa wingi katika kijiji cha Mrao, MraoKeryo, Mashati, Rombo.

– Ukoo wa Assenga wanapatikana kwa wingi katika kijiji cha Kerio, MraoKeryo, Mashati, Rombo.

– Ukoo wa Assenga unapatikana katika kijiji cha Mmomwe, Mrao, Mashati, Rombo.

– Ukoo wa Assenga unapatikana kwa wingi sana katika kijiji cha Kirua, Kirwakeni, Mashati, Rombo.

– Ukoo wa Assenga wanapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Keni Mrere, Mashati, Rombo.

– Ukoo wa Assenga wanapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Mrere, Mashati, Rombo.

– Ukoo wa Assenga wanapatikana kwa wingi sana katika kijiji cha Kisale, Mashati, Rombo.

– Ukoo wa Assenga wanapatikana kwa wingi sana katika kijiji cha Msaranga, Mashati, Rombo.

– Ukoo wa Assenga wanapatikana kwa uchache sana katika tarafa ya Usseri, Rombo.

– Ukoo wa Assenga wanapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Kibaoni, Tarakea, Rombo.

Tunahitaji taarifa zaidi kuhusiana na ukoo wa Assenga ambao umesambaa katika vijiji vingi vya Uchagga hususan upande wa mashariki. Tunahitaji kuwa na maudhui mengi sana ya koo za kichagga ili kujenga hamasa na ari katika kuimarisha mshikamano kuelekea kufanya mambo makubwa.

Karibu kwa mchango zaidi wa Mawazo kuhusu ukoo wa Assenga.

1. Je, unafahamu nini kuhusiana na ukoo wa Assenga?

2. Unafikiri ni kijiji gani ambacho kimesahaulika kutajwa lakini kuna ukoo wa Assenga?

3. Kijijini kwenu kuna ukoo wa Assenga?

4. Kama wewe ni wa ukoo wa Assenga una nini cha kutuambia kuhusu ukoo wenu?

5. Huwa mna maadhimisho yoyote au sherehe za ukoo mwezi gani?

6. Wewe ni Assenga wa kutokea kijiji gani?

7. Bado kuna ushirikiano wowote katika matukio mbalimbali muhimu na ndugu zenu wengine wa matawi ya ukoo wa Assenga kutoka maeneo mengine ya Uchaggani?

8. Ni tabia gani unazozifahamu za wachagga wa ukoo wa Assenga?

9. Wanawake wa ukoo wa Assenga huitwaje, na kwa nini?

10. Una rafiki yako yeyote wa kutokea kwenye ukoo wa Assenga?

11. Ni watu gani mashuhuri unaowafahamu kutoka kwenye ukoo wa Assenga?

12. Kuna mnyama yeyote ambaye labda ni mwiko kuliwa na wachagga wa ukoo wa Assenga?

13. Kuna ukoo ambao hawaruhusiwi kuoana na Wako-Assenga kwa sababu zilizowahi kuwepo miaka ya zamani au nyingine zozote?

Karibu kwa Mchango zaidi au maswali.

Ahsanteni.

Kesho tutaendelea na ukoo mwingine.

www.wachagga.com

Urithi Wetu Wachagga (Facebook).

Whatsapp/Call +255 754 584 270

You may also like...

Popular Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *