UMRI WA MLIMA KILIMANJARO.

UMRI WA MLIMA KILIMANJARO. Kilimanjaro Ndio Nyumbani, Ndio Makazi Yetu na Ndio Hatma Yetu. Mlima Kilimanjaro Umekuwa Sehemu Muhimu Ya Maisha Yetu, Kutupa Wachagga Uhai na Maana Ya Maisha Yetu Ya Kiroho, Lakini Je, Tunafahamu Mlima Huu Umekuwepo Hapo Moshi Kwa Muda Gani Mpaka Sasa? Tafiti za Kijiolojia Zinaonyesha Kwamba Mlima Kilimanjaro Umetengenezwa Miaka 5,000,0000 …

BUSTANI HALISI YA EDENI – KILIMANJARO

BUSTANI HALISI YA EDENI – KILIMANJARO. Kilimanjaro Imekuwa Ni Sehemu Inayovutia Sana Duniani, Pengine Inaongoza Au Ni Moja Ya Maeneo Ya Asili Yenye Kuvutia Sana Duniani. Mwishoni Mwa Karne Ya 19 Wakati Serikali Ya Ujerumani Ilipoamua Kuja Kuitawala Kilimanjaro Na Kutuma Vijana Wa Kijerumani Kuja Kujitolea Katika Jeshi na Katika Serikali Mpya Ya Kikoloni Vijana …

SIKUKUU YA WACHAGGA DUNIANI (WACHAGGA DAY FESTIVAL)

SIKUKUU YA WACHAGGA DUNIANI (WACHAGGA DAY FESTIVAL) – Kila Tarehe 10/Novemba Ya Kila Mwaka Ilikuwa Ni Sikukuu Kubwa Sana Ya Maadhimisho Ya Siku Ya Wachagga Duniani Yaliyoendelea Kufanyika Mpaka Miaka Ya 1960’s. – Siku Hii Ilikuwa Inasherehekewa Kama Siku Ambayo Mangi Mkuu wa Kwanza wa Wachagga Aliapishwa Rasmi Mwaka 1952 na Hivyo Ikatangazwa Kuwa Sikukuu …

#THE JEWISH PHENOMENON# SEHEMU YA 11* #Siri 7 Zilizowasaidia Wayahudi Kuwa na Mafanikio Makubwa#

#THE JEWISH PHENOMENON# *SEHEMU YA 11* #Siri 7 Zilizowasaidia Wayahudi Kuwa na Mafanikio Makubwa# #TAFUTA KITU CHA KUONYESHA WATU KWAMBA UNAWEZA(KITU AMBACHO KITAKUPA MSUKUMO WA KUWEKA BIDII NA JUHUDI KUBWA).# -Wayahudi ni jamii ambayo imekumbana na changamoto nyingi sana katika historia, kuanzia kukataliwa, kutengwa, kufukuzwa, kubaguliwa, kukuawa na kila aina ya manyanyaso. Badala ya mambo …