UCHAWI KWA WACHAGGA/(USAWI)

Je, Wachagga wa Leo Tuko Katika Nafasi Gani Tunapozungumzia Suala Zima La Uchawi? Katika Kitabu Cha Maisha Ya Mchagga Hapa Duniani na Ahera, Tulichoandikiwa Wachagga na Mangi Petro Itosi Marealle Miaka Ya 1940s, Ambacho Amejaribu Kuzungumza Kwa Mapana Kuhusu Mambo Mengi Yanayotuhusu Wachagga Amezungumzia Pia Suala Zima La Uchawi kwa Wachagga. Mangi Petro Itosi Marealle, …

MANGI MELI MANDARA ANASTAHILI HESHIMA KUBWA ZAIDI YA CHIFU MKWAWA NA ZAIDI YA CHIFU YEYOTE TANGANYIKA KATIKA KUPAMBANA NA WAKOLONI.

Nimeleta Hii Mada Kwa Makusudi, Sio Kwa Lengo La Kupunguza Hadhi Au Umaarufu wa Mtawala Yeyote Bali Kuweka Rekodi Sawa na Kusahihisha Propaganda Ya Kihistoria Tuliyorithi Kwa Wakoloni na Kuendelea Kuishi Nayo Mpaka Leo. Mangi Meli Mandara, Mtoto wa “The Great Mangi Rindi Mandara Moshi” ni Kati Ya Wamangi Waliokuwa Jasiri Sana Katika Historia, Ni …

JE UNAJUA KWAMBA WACHAGGA WALIKUWA NA LUGHA YA MAANDISHI?

JE UNAJUA KWAMBA WACHAGGA WALIKUWA NA LUGHA YA MAANDISHI? Wachagga, Kama Yalivyo Mataifa Mengine Mbalimbali Duniani Kama Wachina, Wagiriki, Waarabu, Warusi, Wakorea n.k., Waliendeleza Lugha Ya Maandishi Kabla Mzungu Yeyote Hajaifahamu Kilimanjaro. Uchaggani Kulikuwa na Shule ya Jadi Ambayo Sio Rasmi Lakini Ilikuwa Ni Lazima Kila Kijana Apitie Akifika Umri Fulani Kupata Mafundisho Maalum Ya …

VYAMA VYA SIASA VYA WACHAGGA – KILIMANJARO

VYAMA VYA SIASA VYA WACHAGGA. 1. Kilimanjaro Chagga Citizens Union (KCCU). 2. Chagga Democratic Pary (CDP). Wachagga Walipata Kuwa na Vyama Viwili Vikubwa Vya Kisiasa Ambavyo Vyote Vilipambana Kufikia Kuwa na Taifa Huru La Wachagga Wakati Harakati Za Utaifa Rasmi Zikiendelea Kupamba Moto, Kilimanjaro Kuanzia Miaka Ya 1920’s. Chama Cha Kilimanjaro Chagga Citizens Union (KCCU) …

BARABARA YA MANGI RINDI MOSHI MJINI

RINDI LANE STREET Ni Moja Ya Mitaa Moshi Mjini Unaoanzia Opp. Uhuru Park, Unapita St. Jose College, Kisha Kibo Tower Na Kuishia Opp. Barabara Ya Idara Ya Maji, Ni Mtaa Uliopewa Jina Hili Kwa Heshima Ya Mangi Rindi Mandara. MANGI RINDI MANDARA MOSHI -Alikuwa Mangi wa Old Moshi 1860 – 1891 -Ni Mangi Aliyewahi Kuwa …

WACHAGGA NA MTI MTAKATIFU WA ISALE

MCHAGGA HALISI Popote Utakapoweka Makazi Lazima Uoteshe Masale Kuashiria Ni Makazi Ya Mchagga Na Kutujulisha Wachagga Wenzako Kwamba Wewe Ni Mwenzetu. Jani La Isale Limetufanyia Mengi Sana, Limesaidia Kutatua Migogoro Na Vita Ambazo Kama Zingepiganwa Pengine Babu Yako Ambaye Wewe Umetokea Kwenye Vizazi Vyake Angepoteza Maisha Kwenye Vita Hiyo Na Wewe Usingekuwepo Leo. Hata Uhasama …

KILIMANJARO NATIVE COOPERATIVE UNION(KNCU)

Ndio Chama Cha Ushirika Kikongwe Zaidi Barani Africa Kikiwa Kimeanzishwa 1930. Watu Kutoka Maeneo Mbalimbali Afrika Walikuwa Wanakuja Moshi Kujifunza Namna Ya Kuendesha Vyama Vya Ushirika Kimafanikio. Hata Hivyo Baada Ya Tanganyika Kuwa Nchi Na KNCU Kuingiliwa Sana Na Wanasiasa Sambamba Na Mfumo Mbovu Wa Kisiasa KNCU Kilidhoofika Sana Wakati Vyama Vilivyokuja Kujifunza Ushirika Kupitia …