RINDI LANE STREET Ni Moja Ya Mitaa Moshi Mjini Unaoanzia Opp. Uhuru Park, Unapita St. Jose College, Kisha Kibo Tower Na Kuishia Opp. Barabara Ya Idara Ya Maji, Ni Mtaa Uliopewa Jina Hili Kwa Heshima Ya Mangi Rindi Mandara. MANGI RINDI MANDARA MOSHI -Alikuwa Mangi wa Old Moshi 1860 – 1891 -Ni Mangi Aliyewahi Kuwa …
Month: June 2021
BARABARA YA RENGUA, MOSHI MJINI
RENGUA ROAD. Hii Ni Moja Ya Barabara Katika Mitaa Ya Moshi Mjini, Lakini Ni Watu Wachache Sana Wanaoweza Kufahamu Rengua Alikuwa Ni Nani Hasa, Hii Ni Kutokana Na Sisi Wachagga Kutojihangaisha Kabisa Kufahamu Historia Yetu. MANGI RENGUA KOMBE KIWARIA MUSHI Alikuwa Mangi Wa Machame Mpaka Mwanzoni Mwa Miaka Ya 1800. Alikuwa Mangi Mwenye Nguvu Sana …
LUGHA YA KICHAGGA
Tofauti Ndogo Ndogo Zilizopo. Kwa mfano neno “Sikiliza” Machame wanasema “Aghanyia” Kibosho na Old Moshi wanasema “Adanyia” Uru na Vunjo(Kirua, Kilema, Marangu, Mamba na Mwika) wanasema “Aranyia” Rombo wanasema “Atanyia” Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com
WACHAGGA NA MTI MTAKATIFU WA ISALE
MCHAGGA HALISI Popote Utakapoweka Makazi Lazima Uoteshe Masale Kuashiria Ni Makazi Ya Mchagga Na Kutujulisha Wachagga Wenzako Kwamba Wewe Ni Mwenzetu. Jani La Isale Limetufanyia Mengi Sana, Limesaidia Kutatua Migogoro Na Vita Ambazo Kama Zingepiganwa Pengine Babu Yako Ambaye Wewe Umetokea Kwenye Vizazi Vyake Angepoteza Maisha Kwenye Vita Hiyo Na Wewe Usingekuwepo Leo. Hata Uhasama …
MAISHA YA SAMENI OLE KIVASIS AU JUSTIN LEMENYE, AKIISHI OLD MOSHI WAKATI WA MANGI RINDI MANDARA
An account of Sameni Ole Kivasis also known as Justin Lamenye , a Maasai boy , by 1891 he was 13 years old and his life took a turn when he arrived at “Shinga”, the capital of the Great Mangi Rindi Mandara at Tsuduni. Wanaotoka Moshi/Oldmoshi, kunyweni nguchu moja for Mangi Mangi Rindi Mandara. This …
MTI MREFU KULIKO YOTE AFRICA
Mti Mrefu Kuliko Yote Afrika Ndani Ya Msitu Wa Kilimanjaro. -Mti Huu Kwa Jina La Kitaalamu Unaitwa “ENTANDROPHRAGMA EXCELSUM”, Una Urefu wa Mita 81.5m -Kwa Kiswahili Unaitwa MKUKUSU, Unapatikana Katika Kijiji Cha Tema, Mbokomu, Old Moshi. -Unakadiriwa Kuwa Na Umri Wa Zaidi Ya Miaka 600, Na Unaweza Kuishi Miaka 300 Zaidi. -Kijiji Cha Tema Na …
NEMBO NA BENDERA YA TAIFA LA WACHAGGA – KILIMANJARO
NEMBO YA LILILOKUWA TAIFA LA WACHAGGA – KILIMANJARO (Tunaomba Tafsiri Zaidi Kwa Wanaojua) 1. Mti Wa Isale Kuzunguka Nembo (Jani Takatifu) 2. Chui Juu Ya Mlima Kilimanjaro (Alama Ya Mamlaka) 3. Mlima Kilimanjaro (Uhai, Ulinzi Na Nyumba Ya Ruwa) 4. Mti Wa Mgomba (Chakula Kikuu Cha Asili) 5. Mti Wa Mkahawa (Zao La Biashara Lililoleta …
BABA ASKOFU DR. STEFANO REUBEN MOSHI
Huyu Aliitwa BABA ASKOFU DR. STEFANO REUBEN MOSHI Ndiye Askofu Mkuu wa Kwanza wa KKKT Tanzania (1963 -1976). Ndiye Mwanzilishi wa Hospitali Ya Rufaa KCMC Aliyekuwa na Maono Makubwa Juu Ya KCMC. Chuo Kikuu Cha Stefano Moshi Memorial University College (SMMUCO) Kilichopo Moshi Kimeitwa Kwa Kumbukumbu Ya Jina Lake. Shule Ya Sekondari “Bishop Moshi” Iliyopo …
NCHI NZURI YA KILIMANJARO
Tuna Nchi Nzuri Sana Na Iliyobarikiwa Kweli, Miundombinu Nayo Inazidi Kuboreshwa. Tuna Mipango Gani Kuhusu Kuwekeza Nyumbani? Tujenge Taasisi Za Kitaaluma Kila Eneo Ili Kuwa Na Msingi Wa Jamii Bora Na Yenye Kujitambua Sana. Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com
MANGI MKUU THOMAS LENANA MAREALLE
Huyu Aliitwa MSHUMBUE(MPAKWA MAFUTA) AU MANGI THOMAS LENANA MAREALLE Alikuwa Mangi Mkuu Wa Wachagga Kuanzia Januari 1952 Baada Ya Kushinda Uchaguzi Uliohusisha Wagombea 4. Uongozi Wake Kama Mangi Mkuu Ulikuwa Wa Mafanikio Sana Kwani Uchaggani Kulikuwa Na Maboresho Mengi Katika Elimu, Afya, Miundombinu Ya Maji, Njia Za Mawasiliano, Katika Chama Cha Ushirika Na Ujenzi Wa …