MANGI KUTOKA KILIMANJARO. Urithi Wetu Wachagga. urithiwetuwachagga@gmail.com
Year: 2021
MTAA WA MANGI MAMKINGA – MOSHI MJINI
MAMKINGA STREET, MOSHI MJINI Kwa Heshima Ya MANGI MAMKINGA RENGUA MUSHI. Mangi Mamkinga Mushi Alikuwa Mangi wa Machame Miaka 200 Iliyopita Tangu Mwaka 1820 – 1858. Alikuwa Ni Mangi Mwenye Nguvu Sana Kilimanjaro Akizitiisha Machame, Kibosho, Uru, Old Moshi, Kirua, Kilema, Marangu, Mamba mpaka Mwika. Yaani Kumbukumbu Zinaonyesha Katika Kipindi Chake Aliitiisha Kilimanjaro yote isipokuwa …
BUSTANI HALISI YA EDENI – KILIMANJARO
BUSTANI HALISI YA EDENI – KILIMANJARO. Kilimanjaro Imekuwa Ni Sehemu Inayovutia Sana Duniani, Pengine Inaongoza Au Ni Moja Ya Maeneo Ya Asili Yenye Kuvutia Sana Duniani. Mwishoni Mwa Karne Ya 19 Wakati Serikali Ya Ujerumani Ilipoamua Kuja Kuitawala Kilimanjaro Na Kutuma Vijana Wa Kijerumani Kuja Kujitolea Katika Jeshi na Katika Serikali Mpya Ya Kikoloni Vijana …
HISTORIA FUPI YA CHUO CHA UALIMU MARANGU T. T. C
HISTORIA FUPI YA CHUO CHA UALIMU MARANGU T. T. C Chuo Hiki Ni Taasisi Ya Elimu Iliyo Chini Ya Wizara Ya Elimu na Mafunzo Ya Ufundi Inayotoa Mafunzo Ya Ualimu Mpaka Ngazi Ya Diploma. Kwa Mazingira na Majengo Ni Chuo Chenye Hadhi Ya Juu Sana. Chuo Hiki Kilianza Kama Seminari Ya Kwanza Kilimanjaro Mwaka 1902 …
HOTUBA YA MANGI MKUU WA WACHAGGA (SIKU YA KUAPISHWA)
HOTUBA YA MANGI MKUU WA WACHAGGA (SIKU YA KUAPISHWA) “Tunatakiwa Kushirikiana Kwa Karibu Sana Katika Majukumu Yetu Yote Kwa Sababu Bila Ushirikiano Thabiti Malengo Yetu Yote na Jitihada Zetu Vitakuwa ni Kazi Bure. Mimi Kwa Upande Wangu Ni Kama Nilivyoapa, Nitafanya Kila Kitu Ndani Ya Uwezo Wangu Kuweka Mbele Maslahi Ya Baraza Kuu La Wachagga”. …
SIKUKUU YA WACHAGGA DUNIANI (WACHAGGA DAY FESTIVAL)
SIKUKUU YA WACHAGGA DUNIANI (WACHAGGA DAY FESTIVAL) – Kila Tarehe 10/Novemba Ya Kila Mwaka Ilikuwa Ni Sikukuu Kubwa Sana Ya Maadhimisho Ya Siku Ya Wachagga Duniani Yaliyoendelea Kufanyika Mpaka Miaka Ya 1960’s. – Siku Hii Ilikuwa Inasherehekewa Kama Siku Ambayo Mangi Mkuu wa Kwanza wa Wachagga Aliapishwa Rasmi Mwaka 1952 na Hivyo Ikatangazwa Kuwa Sikukuu …
#THE JEWISH PHENOMENON# SEHEMU YA 11* #Siri 7 Zilizowasaidia Wayahudi Kuwa na Mafanikio Makubwa#
#THE JEWISH PHENOMENON# *SEHEMU YA 11* #Siri 7 Zilizowasaidia Wayahudi Kuwa na Mafanikio Makubwa# #TAFUTA KITU CHA KUONYESHA WATU KWAMBA UNAWEZA(KITU AMBACHO KITAKUPA MSUKUMO WA KUWEKA BIDII NA JUHUDI KUBWA).# -Wayahudi ni jamii ambayo imekumbana na changamoto nyingi sana katika historia, kuanzia kukataliwa, kutengwa, kufukuzwa, kubaguliwa, kukuawa na kila aina ya manyanyaso. Badala ya mambo …
#THE JEWISH PHENOMENON# “SEHEMU YA 10” #Siri 7 Zilizowasaidia Wayahudi Kuwa na Mafanikio Makubwa#
#THE JEWISH PHENOMENON# “SEHEMU YA 10” #Siri 7 Zilizowasaidia Wayahudi Kuwa na Mafanikio Makubwa# #SHEREHEKEA UPEKEE NA HIMIZA UBINIFU# Mwandishi Steven Silbiger anasema kwamba kwa vile dini ya kiyahudi inahimiza historia yake na maandiko ya kidini ya kiyahudi basi watu wengi wanafikiri kwamba wayahudi ni watu wenye utamaduni wa kihafidhina(conservatives) ambapo hawasisitizi sana upekee wa …
#THE JEWISH PHENOMENON# “SEHEMU YA 9” #Siri 7 Zilizowasaidia Wayahudi Kuwa na Mafanikio Makubwa#
#THE JEWISH PHENOMENON# SEHEMU YA 9 #Siri 7 Zilizowasaidia Wayahudi Kuwa na Mafanikio Makubwa# #JENGA NIDHAMU YA MATUMIZI YA FEDHA, WEKEZA KUWA TAJIRI# -Wayahudi ni jamii ambayo imekuwa ikishutumiwa sana kwamba ni watu wanaishi maisha ya ubahili na ndio maana wameweza kukusanya utajiri mkubwa, lakini wayahudi wenyewe wanapinga kwa kusema kwamba hawana ubahili bali wanaangalia …
#THE JEWISH PHENOMENON# “SEHEMU YA 8” #Siri 7 Zilizowasaidia Wayahudi Kuwa na Mafanikio Makubwa#
#THE JEWISH PHENOMENON# SEHEMU YA 8 #Siri 7 Zilizowasaidia Wayahudi Kuwa na Mafanikio Makubwa# JENGA UWEZO WA KUJIAMINI KATIKA KUJIELEZA. Kujiamini na kujieleza ni kati ya changamoto kubwa sana tulizonazo katika nchi hii, japo hili linachangiwa pia na kutofahamu mambo mengi lakini aina ya malezi tuliyokuwa nayo kwenye familia mpaka kwenye nchi yamechangia kwa kiasi …