KATIKA MWAMKO HUU WA JAMII MBALIMBALI DUNIANI KURUDI KUWEKA KIPAUMBELE KWENYE TAMADUNI ZAO ZA ASILI WACHAGGA TUMEJIANDAAJE?

– Dunia inaendelea kuamka kwa kasi sana na taarifa nyingi muhimu zilizokuwa zimejificha au kufichwa kwa makusudi zinaendelea kuwa hadharani siku hadi siku. Licha ya kwamba usumbufu wa kiteknolojia hususan unaoletwa na simu janja za mikononi(smartphones) umekuwa ni kikwazo kikubwa kwa watu kuweka umakini wao kwenye mambo yanayohitaji utulivu na tafakari za kina lakini bado …

NAMNA PEKEE YA KUEPUKA UKUU WA KITAMADUNI WA KIGENI (FOREIGN CULTURAL SUPERIORITY) NI KURUDI KWENYE JAMII/MAKABILA YETU.

– Kumeendelea kuwa na mwamko wa baadhi ya watu na jamii mbalimbali duniani ambao wameendelea kuamka na kujitambua kwa kufahamu kule tulikotoka na kugundua kwamba mifumo yetu karibu yote tuliyonayo ya kijamii, kiuchumi na hata kisiasa ni ya kigeni. Jambo hili limekuwa likiwakereketa baadhi ya watu wenye kujali kuhusu vile tunavyotazamwa na wale ambao tumeazima …

MAPENDEKEZO YA PROF. R. SAMBULI MOSHA JUU YA UHIFADHI NA MATUMIZI YA ELIMU YA ASILI.

Kutokana na mapungufu makubwa yaliyopo katika mfumo wa elimu ya kisasa iliyoletwa na mfumo wa elimu wa magharibi na kuendelezwa na serikali zilizoendelea ambao unazingatia elimu ya akili peke yake(intellectualism) na kupuuza elimu ya kiroho(spirituality) na hivyo kushindwa kukidhi mahitaji ya kijamii kama ilivyokuwa kwa mfumo wa elimu ya asili ambao ulizingatia uwiano sawa wa …

Noticias De Comisión De Integración De Personas Con Discapacida

Noticias De Comisión De Integración De Personas Con Discapacidad Codere Implementó Una Nueva Aplicación Para La Gestión De Elementos Humanos Yogonet Latinoamérica Content Tips Pra Apostar Responsablemente Mucama Con Experiencia En Cocina En Geriátrico Inclusive 40 Años Argentina: Stop Oasis Pilar Sony Ericsson Renueva Con 70 Nuevas Máquinas Sumado A 12 Pozos Progresivos En El …

Приложения букмекерской конторы 1xBe

Приложения букмекерской конторы 1xBet Приложения букмекерской конторы 1xBet Content Приложения 1xBet Приложения букмекерской компании Pin-Up Программа для компьютеров на ОС Windows Букмекер 1Win и его особенности Приложение для Android Депозит и вывод средств через приложение Мобильное приложение 1Win Приложение для Android Приложения букмекерской компании Pin-Up Программа для компьютеров на ОС Windows Мобильное приложение 1Win Букмекер …

ELIMU YA ASILI YA WACHAGGA.

– Kwanza kabla ya kuingia kwenye mada yetu ya elimu ya asili tujiulize elimu ni nini na chimbuko lake. – Elimu ni ule mchakato wa kupokea mkusanyiko wa taarifa na maarifa yaliyotokana na uzoefu wa watu katika maeneo mbalimbali yakakusanywa kwa kipindi kirefu na kuendelea kurithishwa kutoka kizazi kimoja kwenda kingine. Maarifa haya pia yanaweza …