UKOO WA NGOWI.

– Ngowi ni ukoo mkubwa maarufu na mashuhuri sana wa wachagga uliosambaa katika vijiji vingi sana na katika maeneo mengi sana ya Uchagga, Kilimanjaro. Kuna wachagga wengi sana wa ukoo wa Ngowi ambao wanafanya vizuri sana katika maeneo mbalimbali ya kimaisha ndani na nje ya Kilimanjaro, nje ya Tanzania na Afrika mashariki.

– Kutoka kwenye historia Ngowi limekuwa ni jina maarufu linalopatikana kwa wingi katika himaya za katikati ya Uchagga. Tunafahamu kwamba Mangi Ngowi baba yake na Riwa kutokea Marangu alikimbilia Kilema na kwa kuwa alikuwa na utajiri mkubwa sana aliweza kuheshimiwa na moja kwa moja kukalia kiti cha utawala ambacho baadaye alikuja kumrithisha mtoto wake aliyeitwa Mremi.

– Hata hivyo ukoo wa Ngowi una matawi mengi sana na umesambaa karibu kila mahali Uchaggani, Kilimanjaro ukipatikana kwa wingi sana maeneo mengi.

– Ukoo wa Ngowi unapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Lyamungo Kati, Machame.

– Ukoo wa Ngowi unapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Otaruni, Kibosho.

– Ukoo wa Ngowi unapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Kirima Juu, Kibosho.

– Ukoo wa Ngowi unapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Sambarai, Kibosho.

– Ukoo wa Ngowi unapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Singa, Kibosho.

– Ukoo wa Ngowi unapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Sungu, Kibosho.

– Ukoo wa Ngowi unapatikana kwa wingi kiasi katika kijiji cha Mweka, Kibosho.

– Ukoo wa Ngowi unapatikana katika kijiji cha Okaseni, Uru

– Ukoo wa Ngowi unapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Kariwa, Uru.

– Ukoo wa Ngowi unapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Kyaseni, Uru.

– Ukoo wa Ngowi unapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Mnini, Uru.

– Ukoo wa Ngowi unapatikana kwa wingi kiasi katika kijiji cha Kishumundu, Uru.

– Ukoo wa Ngowi unapatikana kwa wingi kiasi katika kijiji cha Mwasi Kusini, Uru.

– Ukoo wa Ngowi unapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Mwasi Kaskazini, Uru.

– Ukoo wa Ngowi unapatikana kwa wingi kiasi katika kijiji cha Mruwia, Uru.

– Ukoo wa Ngowi unapatikana katika kijiji cha Materuni, Uru.

– Ukoo wa Ngowi unapatikana kwa kiasi katika vijiji vya kata ya Mbokomu.

– Ukoo wa Ngowi unapatikana kwa wingi katika kijiji cha Tella, Old Moshi.

– Ukoo wa Ngowi unapatika kwa wingi kiasi katika kijiji cha Mahoma Old Moshi.

– Ukoo wa Ngowi unapatikana kwa wingi kiasi katika kijiji cha Kidia, Old Moshi.

– Ukoo wa Ngowi unapatikana kwa wingi kiasi katika kijiji cha Tsudunyi, Old Moshi.

– Ukoo wa Ngowi unapatikana kwa wingi kiasi katika kijiji cha Mdawi, Old Moshi.

– Ukoo wa Ngowi unapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Sango, Old Moshi.

– Ukoo wa Ngowi unapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Uparo, Kirua Vunjo.

– Ukoo wa Ngowi unapatikana katika kijiji cha Yamu, Kirua Vunjo.

– Ukoo wa Ngowi unapatikana katika kijiji cha Kwamare, Kirua Vunjo.

– Ukoo wa Ngowi unapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Ruwa, Kilema.

– Ukoo wa Ngowi unapatikana kwa kiasi kidogo sana katika kijiji cha Makami chini, Kilema.

– Ukoo wa Ngowi unapatikana kwa kiasi kidogo katika kijiji cha Makami Juu, Kilema.

– Ukoo wa Ngowi unapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Mkyashi, Kilema.

– Ukoo wa Ngowi unapatikana kwa wingi katika kijiji cha Komalyangoe, Marangu.

– Ukoo wa Temu unapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Kiraracha, Marangu.

– Ukoo wa Ngowi unapatikana kwa wingi sana katika kijiji cha Nduweni, Marangu.

– Ukoo wa Ngowi unapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Komela, Marangu.

– Ukoo wa Ngowi unapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Kimbogho, Mamba.

– Ukoo wa Ngowi unapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Kotela, Mamba.

– Ukoo wa Ngowi unapatikana kwa wingi sana katika kijiji cha Komakundi, Mamba.

– Ukoo wa Ngowi unapatikana kwa wingi katika kijiji cha Kimangaro, Mwika.

– Ukoo wa Ngowi unapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Kondeni, Mwika.

– Ukoo wa Ngowi wanapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Mawanjeni, Mwika.

– Ukoo wa Ngowi wanapatikana kwa wingi kiasi katika kijiji cha Maring’a, Mwika.

– Ukoo wa Ngowi unapatikana kwa wingi kiasi katika kijiji cha Msae Nganyeni, Mwika.

– Ukoo wa Ngowi unapatikana kwa kiasi katika vijiji vya kata ya Shimbi, Mkuu, Rombo.

– Ukoo wa Ngowi unapatikana kwa kiasi katika vijiji vya kata ya Ushiri, Mkuu, Rombo.

Kiuhalisia ukoo wa Ngowi umesambaa sana maeneo mengi na una umaarufu mkubwa lakini ni kati ya koo zenye uhaba mkubwa sana wa taarifa licha ya kuwa na watu wasomi wengi sana na wakubwa sana. Tunahitaji taarifa zaidi za kuhusu ukoo wa Ngowi na matawi yake na namna ulivyogawanyika. Taarifa hizi ni ili kuweza kuongeza maudhui zaidi ya ukoo kwa faida ya kizazi cha sasa na kizazi kijacho, kuweza kuelemika na kuhamasika zaidi kuelekea kufanya mambo makubwa kwenye maisha kwa ngazi ya mtu mmoja mmoja na ukoo kwa ujumla.

Karibu kwa mchango zaidi wa Mawazo kuhusu ukoo wa Ngowi.

1. Je, unafahamu nini kuhusiana na ukoo wa Ngowi?

2. Unafikiri ni kijiji gani ambacho kimesahaulika kutajwa lakini kuna ukoo wa Ngowi?

3. Kijijini kwenu kuna ukoo wa Ngowi?

4. Kama wewe ni wa ukoo wa Ngowi una nini cha kutuambia kuhusu ukoo wenu?

5. Huwa mna maadhimisho yoyote au sherehe za ukoo mwezi gani?

6. Wewe ni Ngowi wa kutokea kijiji gani?

7. Bado kuna ushirikiano wowote katika matukio mbalimbali muhimu na ndugu zenu wengine wa matawi ya ukoo wa Ngowi kutoka maeneo mengine ya Uchaggani?

8. Ni tabia gani unazozifahamu za wachagga wa ukoo wa Ngowi?

9. Wanawake wa ukoo wa Ngowi huitwaje, na kwa nini?

10. Una rafiki yako yeyote wa kutokea kwenye ukoo wa Ngowi?

11. Ni watu gani mashuhuri unaowafahamu kutoka kwenye ukoo wa Ngowi?

12. Kuna mnyama yeyote ambaye labda ni mwiko kuliwa na wachagga wa ukoo wa Ngowi?

13. Kuna ukoo ambao hawaruhusiwi kuoana na Wako-Ngowi kwa sababu zilizowahi kuwepo miaka ya zamani au nyingine zozote?

Karibu kwa Mchango zaidi au maswali.

Ahsanteni.

Kesho tutaendelea na ukoo mwingine.

Whatsapp +255 754 584 270.

You may also like...

Popular Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *