UKOO WA KIMARIO.

– Kimario ni moja kati ya koo kubwa na maarufu sana za kichagga unaopatikana kwa wingi upande wa mashariki kabisa ya Uchaggani, Kilimanjaro. Huu ni ukoo wenye watu wengi wanaopatikana ndani na nje ya Kilimanjaro. Ukoo huu wa Kimario unasemekana kwamba ndio uliozaa ukoo wa Utou wa huko Rombo, yaani ukoo wa Utou wa Rombo ni tawi lililotokea kwenye ukoo wa Kimario.

– Kutoka kwenye historia kuna nadharia mbalimbali zinaonyesha kwamba ukoo wa Kimario ni sehemu ya ukoo mkubwa uliogawanyika na kutengeneza koo za Kimaro, Maro, Hamaro n.k., Hata hivyo kwa maeneo ya Rombo baadhi ya wachagga wa ukoo wa Kimario hupenda kutumia au kuitwa kwa ukoo wa Hamaro pia. Hii ni moja kati ya ishara kwamba huenda nadharia hii ni kweli au ina ukweli kwa sehemu.

– Ukoo wa Kimario umesambaa maeneo ya vijiji mbalimbali vya Uchagga, Kilimanjaro na hususan upande wa mashariki ya Uchagga hasa katika eneo la Rombo kwa wingi sana. Katika eneo la Rombo ukoo wa Kimario ni kati ya koo kubwa kabisa kwa idadi kubwa ya watu kama sio ndio unaaongoza sambamba na Shirima na Tarimo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Kyaseni, Uru.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa uchache katika vijiji vya kata ya Shimbwe, Uru.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa uchache sana katika kijiji cha Kondeni, Mwika.

– Hivyo ukoo wa Kimario unapatikana kwa wingi kiasi katika kijiji cha Mamsera chini, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa uchache sana katika kijiji cha Manda Juu, Mengwe, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa uchache katika kijiji cha Mengeni chini, Keni, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa wingi katika kijiji cha Mengeni Kitasha, Keni, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa wingi kiasi katika kijiji cha Aleni Chini, Keni, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Shimbi Masho, Shimbi, Mkuu, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa wingi sana sana katika kijiji cha Shimbi Mashami, Shimbi, Mkuu, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa wingi sana katika kijiji cha Maharo, Mkuu, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa wingi katika kijiji cha Makiidi, Mkuu, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Ibukoni, Mkuu, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa wingi sana katika kijiji cha Mokala, Mkuu, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa wingi sana katika vijiji vya kata ya Kelamfua, Mkuu, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa wingi sana katika kijiji cha Ubaa, Ushiri/Ikuini, Mkuu, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa wingi sana sana sana katika kijiji cha Ushiri, Ushiri/Ikuini, Mkuu, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa wingi sana katika kijiji cha Ikuini, Ushiri/Ikuini, Mkuu, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa wingi sana katika kijiji cha Mrao, MraoKeryo, Mashati, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa wingi sana katika kijiji cha Mmomwe, MraoKeryo, Mashati, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa wingi sana sana katika kijiji cha Kerio, MraoKeryo, Mashati, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa wingi sana sana katika kijiji cha Kirua, KirwaKeni, Mashati, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa wingi sana sana sana katika kijiji cha Keni, KirwaKeni, Mashati, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Kiraeni, KirwaKeni, Mashati, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa wingi sana sana sana katika kijiji cha Mrere, Mashati, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa wingi katika kijiji cha Katangara, Mashati, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa wingi sana katika kijiji cha Kisale, Mashati, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa wingi katika kijiji cha Mahorosha, Mashati, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa wingi sana katika kijiji cha Msaranga, Mashati, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Kilema, Olele, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Kooti, Olele, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa wingi katika kijiji cha Marangu, Olele, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa wingi sana sana katika kijiji cha Kitowo, Olele, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa wingi sana sana katika kijiji cha Kirongo Juu, Usseri, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Kirongo Chini, Usseri, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa wingi sana katika kijiji cha Samanga, Usseri, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa wingi sana katika kijiji cha Kiwanda, Usseri, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa wingi katika kijiji cha Sangasa, Usseri, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa wingi katika kijiji cha Msinga, Usseri, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa wingi katika kijiji cha Lesoroma, Usseri, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa wingi katika kijiji cha Kwalakamu, Usseri, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa wingi sana sana sana katika kijiji cha Kingachi, Usseri, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Ngasseni, Usseri, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Ubetu, Usseri, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa wingi katika kijiji cha Kahe, Usseri, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa wingi sana sana katika kijiji cha Leto, Usseri, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa wingi katika kijiji cha Usongo, Usseri, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Wama, Usseri, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana katika kijiji cha Ture, Usseri, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa wingi katika kijiji cha Msangai, Tarakea, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa wingi sana katika kijiji cha Kibaoni, Tarakea, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa wingi sana katika kijiji cha Urauri, Tarakea, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa wingi sana sana katika kijiji cha Nessae, Tarakea, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa wingi sana katika kijiji cha Nayeme, Tarakea, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa wingi katika kijiji cha Mbomai, Tarakea, Rombo.

– Ukoo wa Kimario unapatikana kwa wingi sana katika kijiji cha Kikelelwa, Tarakea, Rombo.

Pamoja na kwamba ukoo wa Kimario unapatikana kwa wingi sana lakini bado kuna taarifa chache sana kwenye maktaba za historia ya wachagga zinazopatikana kuhusu ukoo huu na uhusiano na koo ambazo zinasemekana kuhusiana nao. Hivyo tunahitaji taarifa zaidi kuhusu ukoo wa Kimario ili kuongeza kwenye maktaba za historia za wachagga na maudhui ya mtandaoni na kwenye nakala ngumu. Taarifa hizi zitahamasisha na kuongeza hamu ya wachagga kujitambua zaidi na hata kuimarisha mshikamano na kujenga hamasa ya kufanya mambo makubwa zaidi kwenye maisha kwa sababu wote tunaifahamu nguvu ya maandishi. Hili ni suala la kuanzia katika ngazi ya mtu mmoja mmoja, ukoo husika na jamii nzima ya wachagga.

Karibu kwa mchango zaidi wa Mawazo kuhusu ukoo wa Kimario.

1. Je, unafahamu nini kuhusiana na ukoo wa Kimario?

2. Unafikiri ni kijiji gani ambacho kimesahaulika kutajwa lakini kuna ukoo wa Kimario?

3. Kijijini kwenu kuna ukoo wa Kimario?

4. Kama wewe ni wa ukoo wa Kimario una nini cha kutuambia kuhusu ukoo wenu?

5. Huwa mna maadhimisho yoyote au sherehe za ukoo mwezi gani?

6. Wewe ni Kimario wa kutokea kijiji gani?

7. Bado kuna ushirikiano wowote katika matukio mbalimbali muhimu na ndugu zenu wengine wa matawi ya ukoo wa Kimario kutoka maeneo mengine ya Uchaggani?

8. Ni tabia gani unazozifahamu za wachagga wa ukoo wa Kimario?

9. Wanawake wa ukoo wa Kimario huitwaje, na kwa nini?

10. Una rafiki yako yeyote wa kutokea kwenye ukoo wa Kimario?

11. Ni watu gani mashuhuri unaowafahamu kutoka kwenye ukoo wa Kimario?

12. Kuna mnyama yeyote ambaye labda ni mwiko kuliwa na wachagga wa ukoo wa Kimario?

13. Kuna ukoo ambao hawaruhusiwi kuoana na Wako-Kimario kwa sababu zilizowahi kuwepo miaka ya zamani au nyingine zozote?

Karibu kwa Mchango zaidi au maswali.

Ahsanteni.

Kesho tutaendelea na ukoo mwingine.

www.wachagga.com

Urithi Wetu Wachagga (Facebook).

Whatsapp +255 754 584 270.

You may also like...

Popular Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *