KIJIJI CHA MUDIO, MASAMA.

– KKKT USHARIKA WA MUDIO. – KKKT USHARIKA WA MUDIO MTAA WA UDORO. – TAG CHURCH JERUSALEM. – TAG CHURCH ISAWERWA – KNCU MUDIO NKOMANGI. – SHULE YA SEKONDARI MUDIO ISLAMIC. – SHULE YA SEKONDARI NKOKASHU. – SHULE YA SEKONDARI UDORO. – MUDIO ISLAMIC ENGLISH MEDIUM PRIMARY SCHOOL. – SHULE YA MSINGI MUDIO. – SHULE …

UKOO WA NGUMA.

– Nguma ni ukoo wa kichagga unaopatikana kwa wingi katika vijiji kadhaa vya Uchagga, Kilimanjaro maeneo ya kati mashariki. Huu ni ukoo wenye watu waliosambaa katika maeneo mbalimbali ndani na nje ya Kilimanjaro na hata nje ya Tanzania wakijihusisha na shughuli mbalimbali za maofisini, biashara na ujasiriamali. – Kutoka kwenye historia ukoo wa Nguma ndio …

“NDEKOCHA” BINTI WA KICHAGGA ALIYEUAWA KIKATILI KUPEWA MTAA HUKO BREMEN, UJERUMANI.

– Kupitia historia tunafahamu kwamba utawala wa wajerumani hasa katika miaka ya mwanzoni ulikuwa ni wa kikatili sana na mwasisi wa ukatili huu uliokithiri alikuwa ni mtu maarufu tuliyemsoma kwenye historia Karl Peters. Karl Peters watu wanahistoria wengi wa karne ya 21 wanamchukulia kama alikuwa ni nusu mwendawazimu kwa jinsi alivyotekeleza vitendo vingi vya ukatili …

UKOO WA TESHA.

– Tesha ni ukoo mkubwa na maarufu sana wa wachagga waliosambaa maeneo mengi ya Uchaggani, Kilimanjaro kuanzia magharibi kati mpaka mashariki kabisa ya Uchaggani, Kilimanjaro. Huu ni ukoo wenye idadi kubwa ya watu wanaopatikana maeneo mengi na wanaofanya vizuri sana katika nyanja mbalimbali hususan ujasiriamali ndani na nje ya Kilimanjaro na hata nje ya nchi. …

UKOO WA KISAKA.

– Kisaka ni ukoo wa wachagga wanaopatikana katika baadhi ya vijiji vya maeneo ya katikati ya Uchaggani, Kilimanjaro. Huu ni ukoo uliosambaa katika vijiji vingi kidogo vya Uchagga unaopatikana katika himaya kadhaa za katikati kuelekea mashariki ya Kilimanjaro. – Ukoo wa Kisaka ni ukoo wenye watu waliosambaa ndani na nje ya Tanzania wakiwa wanafanya vizuri …

UKOO WA KANZA.

– Kanza ni ukoo usio maarufu sana unaopatikana kwa wingi katika vijiji vya maeneo ya katikati ya Kilimanjaro. Huu ni ukoo wa watu wenye umakini mkubwa na wengi wanafanya vizuri sana katika taaluma maeneo mbalimbali na diplomasia na hata katika biashara. – Kutoka kwenye historia Kanza ni ukoo uliokuwa mashuhuri na uliokuwa unatawala katika kijiji …

UKOO WA URASSA.

– Urassa ni ukoo mkubwa wa kichagga na mashuhuri unaopatikana upande wa magharibi sana na mashariki sana ya Uchagga, Kilimanjaro. Hata hivyo ukoo wa Urassa pia unapatikana kwa kiasi maeneo ya katikati ya Uchagga, Kilimanjaro. Huu ni ukoo uliotoa watu mbalimbali mashuhuri wanaofanya vizuri katika nyanja mbalimbali za maisha katika siasa, biashara na hata kitaaluma. …

UKOO WA MBOYA.

– Mboya ni ukoo mkubwa na maarufu wa kichagga uliosambaa katika vijiji mbalimbali vya Uchagga, Kilimanjaro na katika maeneo mengi mbalimbali pia. Kiuhalisia ukoo wa Mboya ni tawi la ukoo wa Mboro. Ukoo wa Mboro ambao ulikuwa ni ukoo mkubwa sana na mashuhuri sana uliosambaa kila mahali Uchaggani, Kilimanjaro na uliokuwa unaheshimika sana zamani ulikuja …