UKOO WA KINYAHA.

– Ukoo wa Kinyaha ni ukoo unaopatikana kwa uchache sana Uchaggani katika maeneo ya katika ya Uchagga. Huu ni ukoo wenye watu wengi makini na wanaofanya vizuri sana kitaaluma wakiwa wanafanya vizuri sana katika taasisi mbalimbali ndani na nje ya Kilimanjaro na hata nje ya nchi. – Kutoka kwenye historia ukoo wa Kinyaha unafahamika kwamba …

UKOO WA MSAKI.

– Msaki ni ukoo wa wachagga wanaopatikana kwa wingi katika eneo la katikati ya kuelekea mashariki ya Uchagga, Kilimanjaro. Ukoo wa Msaki ni ukoo mkubwa uliosambaa katika vijiji vingi vya Uchagga, Kilimanjaro katika maeneo ya katikati kuelekea mashariki. – Ukoo wa Msaki ni ukoo wenye vipaji mbalimbali hivyo una watu wengi wanaofanya vizuri katika nyanja …

UKOO WA MEELA.

– Meela ni ukoo maarufu wa wachagga unaopatikana kwa wingi maeneo ya Uchaggani kati kuelekea mashariki. Huu ni ukoo uliosambaa katika vijiji mbalimbali vya maeneo haya. Hata hivyo japo sio ukoo uliosambaa maeneo mengi sana lakini ukoo wa Meela ni ukoo wenye watu wengi mashuhuri wanaofanya vizuri sana katika nyanja mbalimbali ndani na nje ya …

KIJIJI CHA MUDIO, MASAMA.

– KKKT USHARIKA WA MUDIO. – KKKT USHARIKA WA MUDIO MTAA WA UDORO. – TAG CHURCH JERUSALEM. – TAG CHURCH ISAWERWA – KNCU MUDIO NKOMANGI. – SHULE YA SEKONDARI MUDIO ISLAMIC. – SHULE YA SEKONDARI NKOKASHU. – SHULE YA SEKONDARI UDORO. – MUDIO ISLAMIC ENGLISH MEDIUM PRIMARY SCHOOL. – SHULE YA MSINGI MUDIO. – SHULE …

UKOO WA NGUMA.

– Nguma ni ukoo wa kichagga unaopatikana kwa wingi katika vijiji kadhaa vya Uchagga, Kilimanjaro maeneo ya kati mashariki. Huu ni ukoo wenye watu waliosambaa katika maeneo mbalimbali ndani na nje ya Kilimanjaro na hata nje ya Tanzania wakijihusisha na shughuli mbalimbali za maofisini, biashara na ujasiriamali. – Kutoka kwenye historia ukoo wa Nguma ndio …

“NDEKOCHA” BINTI WA KICHAGGA ALIYEUAWA KIKATILI KUPEWA MTAA HUKO BREMEN, UJERUMANI.

– Kupitia historia tunafahamu kwamba utawala wa wajerumani hasa katika miaka ya mwanzoni ulikuwa ni wa kikatili sana na mwasisi wa ukatili huu uliokithiri alikuwa ni mtu maarufu tuliyemsoma kwenye historia Karl Peters. Karl Peters watu wanahistoria wengi wa karne ya 21 wanamchukulia kama alikuwa ni nusu mwendawazimu kwa jinsi alivyotekeleza vitendo vingi vya ukatili …