– Ukoo wa Munuo ni ukoo mkubwa na mashuhuri sana upande wa magharibi ya mbali ya Uchaggani Kilimanjaro. Ukoo huu unapatikana katika maeneo ya Masama Magharibi hususan katika vijiji vya Lukani, Ng’uni, Kyuu, Mashua, Nkwansira, Losaa n.k. Ukoo huu unapatikana pia kwa kiasi maeneo ya Sanya Juu. – Kutoka kwenye historia ukoo wa Munuo unafahamika …
Category: Makala
UKOO WA NKINI.
– Ukoo wa Nkini ni moja kati ya koo kongwe kabisa na mashuhuri sana katika eneo la Siha/Sanya Juu. Ukoo wa Nkini sambamba na koo nyingine katika eneo hilo walishuka kutoka kwenye plango ya Shira(Shira Plateau) na kuweka makazi yao katika vijiji vya ukanda wa juu wa himaya ya umangi Siha/Sanya Juu hususan kijiji cha …
UKOO WA MMARI.
UKOO WA MMARI. – Ukoo wa Mmari ukoo mkubwa wenye historia kubwa na uliotoa watu mashuhuri katika historia ya wachagga. Kutoka kwenye historia ukoo wa Mmari huenda chimbuko lake kwa uchaggani ni Siha/Sanya ambapo wanapatikana kwa wingi sana na umewahi kuwa ukoo wenye nguvu na uliotoa watawala imara sana wa himaya ya umangi Siha/Sanya Juu. …
UKOO WA URIO/ORIO.
– Ukoo wa Urio/Orio ni kati ya koo kubwa, kongwe na maarufu sana miongoni mwa wachagga. Kwa uchaggani ukoo wa Urio/Orio unaaminika kwamba ulianzia Sanya Juu na uliweza kutoa watu mashuhuri katika historia kama Mzee Msanya ambaye anasemekana alihamia Meru kwa muda na kisha kurudi Sanya Juu na baadaye vizazi vyake kusambaa maeneo mengine ya …
UTAFITI NA UFAHAMU ZAIDI JUU YA KOO ZA KICHAGGA.
– Kazi ya kufanya utafiti na kufahamu zaidi kuhusu koo mbalimbali za kichagga ni kazi kubwa sana na inahusisha mambo mengi sana kwa sababu ya uwingi na upana wa koo zenyewe. Kazi hii pia ina changamoto ya uhaba wa taarifa hususan inapokuwa sio jumuishi kwa kila mwenye uelewa fulani. – Lakini habari njema ni kwamba …
MZEE WA MWISHO ALIYEBAKI.
MZEE WA MWISHO ALIYEBAKI. – Mzee Pauli Shirima maarufu kama Mzee Lekramu mwenye umri wa miaka 95 anaishi katika kijiji cha Ngaseni, Usseri, Rombo. Mzee huyu Pauli Shirima akiwa na mke wake Masilayo ndiye Mzee wa mwisho uchaggani aliyebaki ambaye anaweza kuongea lugha ya Kingassa kwa ufasaha. Mzee Lekramu anaongea lugha tatu kwa ufasaha kabisa …
MTI ALIONYONGEWA MANGI MELI MANDARA NA WENZAKE.
Mti huu uliopo katika kijiji cha Tsudunyi, Old Moshi katika wilaya ya Moshi vijijini mkoani Kilimanjaro ndio kama Golgota kwa Wachagga kwani ndio mti walionyongwa watawala wa Uchaggani, Kilimanjaro siku ya tarehe 2/Januari/1900. Wakiongozwa na Mangi Meli Mandara wa Old Moshi, Mangi Molelia Mushi wa Kibosho na Mangi Ngalami wa Siha/Sanya Juu walikutwa na hatia …
MAADHIMISHO YA SIKU YA WACHAGGA (CHAGGA DAY) YA MWAKA 2022.
KIJIJI CHA MAKUMBUSHO YA TAIFA KIJITONYAMA, DAR ES SALAAM NOV. 12, 2022. – Kama ambavyo tumeendelea kufahamu kwamba kila tarehe 10/Novemba ya kila mwaka ilikuwa ni siku kuu kubwa ya maadhimisho ya siku ya wachagga iliyokuwa ikifanyika zamani Moshi. – Siku hii ilikuwa siku muhimu sana kwa wachagga kwani ndio siku iliyokuwa ikitumika kama kilele …
“MIAKA 700 YA WACHAGGA”.
(JNIA, INTERNATIONAL AIRPORT, DAR ES SALAAM, DOMESTIC ARRIVALS, CHECK IN). Urithi Wetu Wachagga. urithiwetuwachagga@gmail.com
JE, WAZEE/VIONGOZI AU WATANGULIZI WETU WALIOKUWA NA MAONO MAKUBWA NA KUANZISHA, WANAPEWA HESHIMA INAYOWASTAHILI?
– (Au Tunafikiri Taasisi Hizi Zilishuka Tu Kutoka Mbinguni?). 1. Picha Na. 1, 2 na 3 Inaonyesha Waasisi Waliojenga Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi Kwenye Miaka Ya 1940’s/1950’s Katika Juhudi za Kuleta Maendeleo Makubwa Kwa Jamii Yao. Kikiwa Ndio Taasisi Ya Mwanzoni Kabisa Ya Elimu Ya Juu Tanganyika. 2. Picha Na. 4, 5 na 6 …