UKOO WA MACHA.

– Ukoo wa Macha ni ukoo mkubwa wenye idadi kubwa ya watu na uliosambaa maeneo mengi ya uchagga Kilimanjaro. Huu ni ukoo mkongwe na mashuhuri sana katika historia ya wachagga Kilimanjaro, wenye matawi mengi na unaoweza kuhesabu vizazi vingi vilivyopita. – Kutoka kwenye historia tawi la ukoo wa Macha ambalo ni kongwe zaidi linapatikana katika …

UKOO WA MSHANGA.

– Ukoo wa Mshanga ni ukoo mkongwe na uliotawanyika maeneo mbalimbali ya Uchagga, Kilimanjaro kuanzia magharibi mpaka mashariki kabisa. Huu ni ukoo wa wachagga wasiotajwa sana lakini wanaofanya vizuri katika maeneo mbalimbali ndani na nje ya Kilimanjaro. Japo ukoo huu unapatikana maeneo mengi lakini karibu kwenye kila eneo wanalopatikana wanapatikana kwa uchache. – Kutoka kwenye …

UKOO WA MREMA.

– Ukoo wa Mrema ni kati ya koo kubwa, maarufu na mashuhuri sana zilizofanya mambo makubwa katika historia ya wachagga Kilimanjaro. Ukoo wa Mrema umeweza kutoa wachagga wengi mashuhuri wanaofanya vizuri katika maeneo na nyanja mbalimbali ndani na nje ya Kilimanjaro. – Kutoka kwenye historia ukoo wa Mrema wa tawi la kutoka kijiji cha Tema …

UKOO WA SHIO.

– Ukoo wa Shio ni ukoo mkubwa na maarufu unaopatikana kwa wingi katika eneo la himaya ya umangi Kibosho hasa katika maeneo vijiji vya kati. Ukoo wa Shio ni ukoo wa watu mashuhuri na makini wanaofanya vizuri maeneo mbalimbali ndani na nje ya Kilimanjaro. – Kutoka kwenye historia kwa tafiti zilizofanyika mpaka kufikia katikati ya …

UKOO WA NJAU.

– Ukoo wa Njau ni ukoo mkubwa na mashuhuri sana unaopatikana katika maeneo karibu yote ya Uchaggani, Kilimanjaro. Ukoo wa Njau ni ukoo mkongwe ambao umekuwepo kwenye matukio mbalimbali ya kihistoria tangu karne nyingi zilizopita. Wachagga wa ukoo wa Njau wamekuwa ni watu makini, wasomi na waliofanya mambo mengi makubwa Kilimanjaro. – Moja kati ya …

UKOO WA SHUMA.

– Ukoo wa Shuma ni ukoo wa wachagga mashuhuri wenye watu wengi makini na wanaojituma sana katika nyanja mbalimbali kwenye maisha ndani na nje ya Kilimanjaro na hata nje ya nje. Wachagga wa ukoo wa Shuma asili yao Uchaggani ni Machame ambapo wanapatikana kwa wingi zaidi katika kijiji cha Foo kitongoji cha Foo, Machame. – …

UKOO WA KIMAMBO.

– Ukoo wa Kimambo ni ukoo mkubwa na mkongwe sana wa wachagga uliobeba sehemu muhimu ya historia ya wachagga, Kilimanjaro. Katika Kilimanjaro makazi ya asili na ya mwanzoni kabisa ya wachagga wa ukoo wa Kimambo ni katika kijiji cha Mowo, Old Moshi. Hiki ni kijiji kikongwe sana na kilichobeba historia ya kipekee kwani hata jina …

UKOO WA LEMA.

– Ukoo wa Lema ni ukoo mkubwa sana wa wachagga mashuhuri na wenye heshima kubwa sana ndani na nje ya Kilimanjaro. Wachagga wa ukoo wa Lema wamekuwa ni watu wapambanaji na wenye msimamo thabiti katika mambo ya msingi tangu karne nyingi zilizopita mpaka sasa. Ukoo wa Lema una watu wengi mashuhuri wanaofanya vizuri katika nyanja …

UKOO WA TEMBA.

– Ukoo wa Temba ni ukoo mkubwa sana maarufu na mashuhuri unaopatikana kwa wingi zaidi katikati na katikati magharibi ya Kilimanjaro. Huu ni ukoo wa wenye watu wengi sana wanaofanya kazi maeneo mbalimbali ndani na nje ya Kilimanjaro na hata nje ya Tanzania. – Kutoka kwenye historia ukoo wa Temba kwa uchaggani unasemekana kwamba ulikuwa …

UKOO WA SHOO.

– Ukoo wa Shoo ni ukoo mkubwa na mashuhuri sana wa kichagga unaopatikana kwa wingi zaidi Machame na kwa kiasi maeneo mengine mbalimbali ya Uchaggani, Kilimanjaro. Ukoo wa Shoo umekuwa ukisifika kama ukoo wenye watu wengi makini wenye kujituma sana na wanaofanya vizuri sana katika maisha. – Kutoka kwenye historia ukoo wa Shoo unatajwa kuwa …