– Kila jamii au kila nchi duniani kuna thamani inayowekwa kwenye matendo ambayo yamepewa ukuu na utakatifu zaidi kuliko mengine na yanahesabika kuwa ndio matendo mema zaidi(virtues) na kinyume chake ni matendo maovu na ya hovyo(vices). – Hivyo watu wengi wa jamii husika hupenda kuhusishwa na matendo hayo ili kujenga ushawishi zaidi na hivyo matendo …
Year: 2022
BARABARA YA KILEMA.
– Moja kati ya jukumu kubwa sana na muhimu kabisa tulilonalo ni kufundisha historia kwa kizazi kinachokua kisha iendelee kurithishwa kwa vizazi vinavyofuata ili waweze kujua umuhimu wa vitu na watu mbalimbali kadiri ya michango yao kwenye jamii husika. Lakini kwa bahati mbaya sana kwa upande wa wachagga historia ilififia zamani sana ukilinganisha na hapo …
KUKUA NA KUANGUKA KWA HIMAYA ZA UCHAGGANI, KILIMANJARO KATIKA HISTORIA.
Kuna nyakati ambapo Uchaggani, Kilimanjaro kulikuwa na vihimaya vidogo vidogo sana, yaani kuna nyakati ambapo vijiji vya uchaggani vya leo hii zilikuwa ni nchi au himaya mpaka kwenye miaka ya 1600. Kwa mfano sehemu kama Kibosho vijiji vya Singa na Sungu zilikuwa ni himaya zinajitegemea, kijiji cha Mweka kilikuwa ni himaya inayojitegemea. Kijiji cha Tella, …
TAASISI YA UMANGI.
KAZI ZAKE, UMUHIMU WAKE NA MABADILIKO YAKE. – Kila kitu duniani kinachohusiana na watu au kuathiri maisha ya watu wa jamii kwa namna moja au nyingine huwa kinatoka kwenye asili ya binadamu. Mifumo ya kijamii kwa ujumla wake hutoka kwenye asili ya binadamu ikilenga kutatua changamoto fulani au kuboresha maisha ya watu wa jamii hiyo …
TEKNOLOJIA YA MIUNDOMBINU YA UMWAGILIAJI KATIKA NCHI YA WACHAGGA.
– Jamii Yoyote Ili Iweze Kupiga Hatua Kubwa Kimaendeleo Katika Nyanja Zake Zote Inapaswa Kuwekeza Sana Kwenye Maendeleo Ya Kiteknolojia. Na Jamii Yoyote Inayoweka Juhudi Kubwa Kwenye Kuhimiza Kuchochea na Kukuza Teknolojia Zake Katika Nyanja Mbalimbali Huweza Kukua Haraka Kwani Inarahisisha Sana Mifumo Yake Ya Kiuchumi Katika Utengenezaji wa Thamani Ambao Kimsingi Ndio Utajiri wa …
UKRISTO ULIVYOINGIA KATIKA NCHI YA WACHAGGA NA MWANZO WA SHUGHULI ZA MISHENI KILIMANJARO.
UKRISTO ULIVYOINGIA KATIKA NCHI YA WACHAGGA NA MWANZO WA SHUGHULI ZA MISHENI KILIMANJARO. Mpaka kufikia karne ya 19 wachagga hawakuwa wanafahamu chochote kuhusiana na ukristo wala biblia japo walikuwa na mfumo wa dini zao za asili ambazo baadhi ya mambo kama vile hadithi na taratibu za utoaji sadaka zilikuwa zinaendana na zile za agano la …
UTARATIBU WA KUMILIKI ARDHI KATIKA NCHI YA WACHAGGA.
Katika desturi na kitamaduni nyumbani kwa mchagga ni katika nyumba yake ambayo ipo katikati ya shamba lake la urithi(kihamba). Mchagga bila nyumbani katika kihamba chake ni sawa na samaki nje ya maji. Hili lilikuwa dhahiri zaidi hasa katika miaka ya zamani. Mchagga pia alikuwa na ardhi kwa ajili ya kilimo cha maharage, viazi katika mashamba …
HAKI ZA MWANAMKE KISHERIA KATIKA NCHI YA WACHAGGA.
Katika nchi ya wachagga hadhi ya mwanamke kisheria na haki zake zilikuwa bayana na zaidi zinaonekana wakati wa ndoa. Hata hivyo mbele ya sheria za wachagga mwanamke alipewa hadhi kubwa zaidi kisheria ukilinganisha na jamii nyingi za kiafrika. Kwa mfano katika ardhi ya wachagga miaka ya zamani sana wakati wa vita kisheria mwanamke hakuruhusiwa kushambuliwa, …
ADHABU ZA NCHI YA WACHAGGA ZILITOKANA NA MTU KUFANYA MAPENZI NJE YA UTARATIBU.
Binti alipoolewa halafu yule Bwana harusi akakuta kwamba binti yule alikuwa ni bikra, ilikuwa ni desturi kwamba atachinja kondoo na kuwatumia nyama wazazi wa binti huyo, ambao nao pia watatuma tena kondoo kwa binti yao kwa kumshukuru binti yao kwa viwango vya juu vya maadili alivyozingatia. Lakini ikiwa binti ameolewa na kukutwa kwamba hakuwa bikra, …
HADITHI YA WACHAGGA INAYOTOA MAONYO JUU YA MTU KUKOSA SHUKRAN KWA MATENDO MEMA ALIYOFANYIWA NA WENGINE.
Wachagga wa miaka ya zamani za kale walifahamu kwamba mtu anapofariki huenda kwenye dunia ya rohoni. Kisha mtu hubaki kwenye dunia hii ya roho mpaka pale anapofikia kuwa roho kweli. Lakini hukaa tena kwenye dunia hii ya rohoni mpaka anazeeka kisha anakwenda kwenye dunia nyingine ya ngazi ya pili ya roho ya watu waliofariki miaka …