“THE JEWISH PHENOMENON” “SEHEMU YA 7” Siri 7 Zilizowasaidia Wayahudi Kuwa na Utajiri Mkubwa na wa Kudumu. WATU WENYE MAFANIKIO MAKUBWA KIUCHUMI NI WANATAALUMA NA WAJASIRIAMALI. Wayahudi wanatambua vizuri sana kwamba mafanikio makubwa kiuchumi hupatikana kupitia taaluma na ujasiriamali au biashara. -Udaktari, uanasheria na biashara ni vitu ambavyo wayahudi wamekuwa wakivizungumzia zaidi pale wanapozungumzia kazi …
Year: 2021
“THE JEWISH PHENOMENON”, “SEHEMU YA 6” Siri 7 Zilizowaisaidia Wayahudi Kuwa na Utajiri Mkubwa na Unaodumu.
“THE JEWISH PHENOMENON” “ SEHEMU YA 6” Siri 7 Zilizowaisaidia Wayahudi Kuwa na Utajiri Mkubwa na Unaodumu 2. JIJALI NA KUJISAIDIA NA WATU WATAKUJALI NA KUKUSAIDIA. -Wayahudi ndio jamii ambayo imewekeza zaidi katika taasisi zao za kusaidiana kuliko jamii nyingine yoyote ndani ya Marekani. Wayahudi wana uwezo mkubwa sana wa kuunda vyama vya kijamii na …
“THE JEWISH PHENOMENON” “SEHEMU YA 5” Siri 7 Zilizowasaidia Wayahudi Kuwa na Utajiri Mkubwa na Unaodumu.
“THE JEWISH PHENOMENON” “SEHEMU YA 5” Siri 7 Zilizowasaidia Wayahudi Kuwa na Utajiri Mkubwa na Unaodumu. 1. UTAJIRI UNABEBEKA, NI MAARIFA, NI ELIMU. Mwandishi anasema uwekezaji bora zaidi mtu anaoweza kuufanya kwa ajili ya baadaye ni elimu na maarifa. Hata kama elimu hiyo itakugharimu sana au kukuacha na madeni bado hakuna mtu anaweza kuiondoa elimu …
“THE JEWISH PHENOMENON” “SEHEMU YA 4”
“THE JEWISH PHENOMENON” “SEHEMU YA 4” HISTORIA YA WAYAHUDI KUANZIA MIAKA 2,000 ILIYOPITA. Mwandishi anasema historia mpya ya Wayahudi inaanzia mwaka 70 Kabla ya Kristo wakati majeshi ya dola ya Rumi yaliyokuwa yakiongozwa na Jenerali Pompey yalipoivamia Yerusalemu na kuiangusha, yakalivunja hekalu na kuwaondoa kabisa wayahudi kutoka nchi yao takatifu ya ahadi Israel ambapo walitawanyika …
“THE JEWISH PHENOMENON” #SEHEMU YA 3#
“THE JEWISH PHENOMENON” #SEHEMU YA 3# HISTORIA YA KALE YA WAYAHUDI TANGU NYAKATI ZA BIBLIA Waebrania, Waisrael au Wayahudi ni maneno ambayo yamekuwa yakitumika kuwatambulisha. Israel ndio jina lililokuwa linatumiwa na mjukuu mwingine wa Ibrahim aliyeitwa Yakobo, na kisha watoto kumi na mbili wa Yakobo ndio walikuja kuitwa watoto wa Israel au Taifa la Israel. …
“THE JEWISH PHENOMENON”, #SEHEMU YA 2#
“THE JEWISH PHENOMENON” #SEHEMU YA 2# WAYAHUDI/WAISRAEL NI NANI? Wayahudi/Waisrael au kwa kiingereza maarufu zaidi kama “Jews” ni jamii ya watu, ni taifa, ni dini na ni kabila pia. Wayahudi wana dini yao rasmi ya kiyahudi ambayo ndio imezaa dini ya kikristo na baadaye uislamu, lakini Wayahudi hawa waliendelea kubaki kwenye dini yao ile ile …
“THE JEWISH PHENOMENON” 7 Keys To Enduring Wealth of The People. “SEHEMU YA 1.”
“THE JEWISH PHENOMENON” 7 Keys To Enduring Wealth of The People. “SEHEMU YA 1.” Utangulizi Mwandishi wa kitabu hiki cha “The Jewish Phenomenon” ambacho kinazungumzia njia saba zinazopelekea jamii ya watu fulani kuwa na utajiri usio na kikomo na usioisha, Steven Silbiger anasema Wayahudi ndio jamii/kabila la watu matajiri zaidi ndani ya Marekani. Makampuni makubwa …
“THE JEWISH PHENOMENON”
“THE JEWISH PHENOMENON” Hiki Ni Kitabu Kilichoandikwa na Mr. Steven Silbiger, Kinachoelezea Historia, Mapito na Mafanikio Ya Jamii Ya Wayahudi Kwa Kipindi Cha Takriban Miaka 4,000 Mpaka Sasa. Wayahudi au Waisrael Kwa Mujibu wa Mwandishi Ni Jamii Iliyopitia Nyakati Nyingi Ngumu Katika Kipindi Chote Cha Historia na Wamekuwa Wahanga wa Mateso, Manyanyaso na Mauaji Mengi …
KILIMANJARO – BY EZRON MACHA KYELU ft AGNES KUNDI
Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com
KWA NINI KILIMANJARO NI MUHIMU SANA KWA WACHAGGA?
KWA NINI KILIMANJARO NI MUHIMU SANA KWA WACHAGGA? KWA NINI ARDHI YA WACHAGGA HAIUZIKI? KWA NINI WACHAGGA HUENDA NYUMBANI KUSHEREHEKEA KILA MWISHO WA MWAKA? KWA NINI MCHAGGA AKIFARIKI NI LAZIMA AKAZIKWE KWENYE ARDHI YA KILIMANJARO? Watu Wengi Ikiwemo Baadhi Yetu Sisi Wachagga Hawana Majibu Ya Uhakika Kwa Maswali Haya Ambayo Ni Muhimu Sana Kwa Kila …