Habari Ndugu Wana-Urithi Wetu Wachagga.

Leo Tunafunga Mwaka 2023 na Kwenda Kuuanza Mwaka Mpya wa 2024.

Kwa Muda Mrefu Tumekuwa Tunaweka Hapa Makala Mbalimbali za Kuelimisha na Nyingine za Kuburudisha.

Leo Kabla Ya Kuufunga Mwaka Huu wa 2023 Tungependa Kupata Mrejesho na Maoni Yako Juu Ya Mambo Mbalimbali.

1. Nini Kikubwa Ulichojifunza Ambacho Hukuwa Unafahamu Kabla?

2. Nini Kilikuvutia Zaidi Katika Mengi Yaliyowekwa Kwenye Ukurasa Huu?

3. Umekuwa Mfuatiliaji Kiasi Gani wa Yale Yaliyokuwa Yanawekwa Kwenye Ukurasa Huu?

4. Una Ushauri Gani Kwa Mwandishi/Waandishi wa Makala za Ukurasa Huu?

5. Unafikiri Nini cha Kuboresha, Kuongeza au Kupunguza?

6. Una Swali Lolote Kwa Mwandishi/Waandishi wa Ukurasa Huu?

7. Una Swali Lolote au Ushauri kwa Wafuasi wa Ukurasa Huu na Wachagga Kwa Ujumla?

Karibu Tusikie Kutoka Kwako.

Urithi Wetu Wachagga.

urithiwetuwachagga@gmail.com

Whatsapp +255 754 584 270.

You may also like...

Popular Posts

4 Comments

  1. Happy new year (kichaga tunasemaje?)

    Nafurahishwa na kazi nzuri unayofanya kuweka vizuri historia ya wachaga. Nimekua mfuatiliaji wa blog hii na kitabu cha historia ya 700 yrs ninakisoma pia.

    Hongera sana

    1. Ahsante sana. Karibu sana Mr. Shayo.

  2. Kwakweli mnafanya kazi nzuri. Hii ni sehemu nimejifunza mengi kuhusu Ndugu zangu wachagga. Nimejifunza histori muhimu sana.

    Nimejifunza kuna mambo mengi ya historia hatujafundishwa Darasani.

    Historia ya wachagga ilipaswa kuwa Somo kabisa Darasani ina Contents zakutosha kabisa.

    Natumahini kwa jitihana ninazozoziona. Vijana wengi zaidi watafikiwa na historia hii. Tuongeze Juhudi

    1. Ahsante sana Mr. Kimaro.

      Karibu sana.

      Tuko pamoja.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *