– Assenga ni ukoo mkubwa sana wa wachagga unaopatikana kwa wingi kwenye vijiji mbalimbali vya Uchagga Kilimanjaro maeneo ya katikati ya Uchagga na kwa wingi zaidi upande wa mashariki. Wachagga wa ukoo wa Assenga wanafahamika kwa kujiamini na kujituma sana katika nyanja mbalimbali ndani na nje ya nchi. Baadhi ya maeneo ya Rombo ukoo wa …
Year: 2023
BONIFACE PAULO MASSAWE.
– Boniface Paulo Massawe ni mchagga kutokea Kibosho ambaye haijulikana exactly anatokea kijiji gani. Lakini Bwana huyu alizaa mtoto na mwanamke mmoja kutokea huko Marangu miaka kama 35 au 36 iliyopita alipokuwa akiishi Moshi mjini. Mtoto huyo ni wa kike na ameshakuwa binti mkubwa ambaye ameolewa na mwanaume wa huko huko Marangu na ana familia …
UKOO WA MARO.
– Maro ni ukoo mkongwe sana wa wachagga uliotoa watu mashuhuri sana katika historia ya wachagga Kilimanjaro. Ukoo wa Maro wa miaka ya zamani ulitoa wanajeshi hodari sana akiwemo mkuu bora kabisa wa majeshi katika historia ya wachagga Kilimanjaro Mzee Merinyo Maro. Hata miaka ya baadaye ukoo wa Maro ambao umeendelea kusambaa zaidi katika vijiji …
UKOO WA MONGI.
– Mongi ni ukoo mashuhuri wa wachagga wenye ngome yao katika kijiji cha Samanga, Marangu. Huu ni ukoo mkongwe sana unaohesabu vizazi vinavyokwenda mpaka miaka ya zamani sana kutokea kwa mchagga wa zamani zaidi wa ukoo huu anayekumbukwa. Mongi ni ukoo uliotoa wachagga wengi mashuhuri wanaofanya vizuri katika sekta mbalimbali. Wachagga wa ukoo wa Mongi …
UKOO WA KISANGA.
– Kisanga ni ukoo wa wachagga unaopatikana maeneo ya vijiji kadhaa vya Uchaggani, Kilimanjaro. Ni ukoo uliotoa wachagga wengi mashuhuri na unapatikana katika vijiji vya katikati ya Uchagga kwa wingi na kwa kiasi katika vijiji vichache vya mashariki. Hata hivyo ukoo wa Kisanga unapatikana kwa wingi zaidi katika vijiji vya himaya ya Mbokomu iliyokuja kuwa …
UKOO WA SHAYO.
– Shayo ni ukoo maarufu sana wa wachagga unaopatikana maeneo mengi sana ya Uchaggani, Kilimanjaro hususan kuanzia katikati mpaka mashariki kabisa. Ukoo wa Shayo ni ukoo wenye idadi kubwa sana ya watu na umeweza kutoa wachagga mbalimbali mashuhuri wanaofanya vizuri sana maeneo tofauti tofuati. – Kutoka kwenye historia ukoo wa Shayo unazungumziwa kwamba ulikuwa unapatikana …
UKOO WA MOSHA.
– Mosha ni ukoo mkubwa, mashuhuri, maarufu na mkongwe sana katika historia ya wachagga Kilimanjaro. Huu ni ukoo uliosambaa katika maeneo ya vijiji vingi vya Uchaggani, Kilimanjaro kuanzia maeneo ya katikati kuelekea mashariki. Ukoo wa Mosha ni ukoo wa watu wengi mashuhuri wanaofanya vizuri sana katika maeneo mbalimbali ndani na nje ya Kilimanjaro na hata …
UKOO WA KIWELU.
– Kiwelu ni ukoo wa kichagga ambao unapatikana kwa kiasi katika vijiji kadhaa vya maeneo ya katikati ya Uchaggani, Kilimanjaro. Licha ya kutokuwa ukoo uliosambaa sana lakini ni ukoo ulioweza kutoa watu kadhaa mashuhuri katika nchi hii wakiwemo wafanyabiashara na wanasiasa maarufu. Moja kati ya watu mashuhuri wanaofahamika sana kutokea kwenye ukoo huu ni aliyekuwa …
PETRO M. NJAU (MORENJA).
Mwanafalsafa Mahiri na Mbeba Maono wa Taifa La Wachagga, Kilimanjaro. – Petro Njau alizaliwa mwaka 1890 katika kitongoji cha Fumvuhu, kijiji cha Kidia, Old Moshi. – Alikuwa ni mwanafunzi mwenye uwezo mkubwa kiakili darasani na alisoma wakati wa utawala wa wajerumani na kuelewa vizuri sana lugha ya kijerumani pia ambapo alihitimisha masomo yake mwaka 1910. …
UKOO WA TEMU.
– Temu ni ukoo mkubwa sana wa wachagga uliosambaa katika vijiji vingi sana Uchaggani, Kilimanjaro hususan kuanzia eneo la katikati kuelekea mashariki. Huu ni ukoo uliotoa watu wengi mashuhuri katika historia na watu wanaofanya vizuri sana katika nyanja mbalimbali ndani na nje ya Kilimanjaro na hata nje ya nchi. Temu ni ukoo unaopatikana katika vijiji …