FALSAFA YA WACHAGGA(CHAGGA PHILOSOPHY)

Falsafa za Jamii Mbalimbali Duniani Ndizo Huzaa Tamaduni Nyingi za Jamii Husika na Kuamua Hatima Za Kisiasa, Kiuchumi, Kijamii, Kiteknolojia, Kitaaluma na Hata Kiroho. Je, Tunaweza Kuifahamu Falsafa Ya Wachagga au za Wachagga Ambazo Zimeathiri Mwenendo wa Maisha Ya Mchagga? Je Kuna Wanafalsafa wa Kichagga Wanaofahamika Ambao Walichangia Katika Kutengeneza au Kuboresha Falsafa Hizi? Tunajua …

MANGI MELI MANDARA ANASTAHILI HESHIMA KUBWA ZAIDI YA CHIFU MKWAWA NA ZAIDI YA CHIFU YEYOTE TANGANYIKA KATIKA KUPAMBANA NA WAKOLONI.

Nimeleta Hii Mada Kwa Makusudi, Sio Kwa Lengo La Kupunguza Hadhi Au Umaarufu wa Mtawala Yeyote Bali Kuweka Rekodi Sawa na Kusahihisha Propaganda Ya Kihistoria Tuliyorithi Kwa Wakoloni na Kuendelea Kuishi Nayo Mpaka Leo. Mangi Meli Mandara, Mtoto wa “The Great Mangi Rindi Mandara Moshi” ni Kati Ya Wamangi Waliokuwa Jasiri Sana Katika Historia, Ni …

JE UNAJUA KWAMBA WACHAGGA WALIKUWA NA LUGHA YA MAANDISHI?

JE UNAJUA KWAMBA WACHAGGA WALIKUWA NA LUGHA YA MAANDISHI? Wachagga, Kama Yalivyo Mataifa Mengine Mbalimbali Duniani Kama Wachina, Wagiriki, Waarabu, Warusi, Wakorea n.k., Waliendeleza Lugha Ya Maandishi Kabla Mzungu Yeyote Hajaifahamu Kilimanjaro. Uchaggani Kulikuwa na Shule ya Jadi Ambayo Sio Rasmi Lakini Ilikuwa Ni Lazima Kila Kijana Apitie Akifika Umri Fulani Kupata Mafundisho Maalum Ya …

HISTORIA YA MJI WA MOSHI

HISTORIA YA MJI WA MOSHI ……..!! Mji wa Moshi Ulitokea Eneo La Old Moshi, Tsudunyi Huko Mlimani Ambapo Ndipo Palikuwa Panaitwa “Moshi” Hapo Kabla. Wakati Wageni Mbalimbali Wanakuja Kwa Wingi Sana Kilimanjaro Kuanzia Katikati Ya Karne Ya 19 Wakitokea Maeneo Ya Pwani, Ulaya, Asia na Uarabuni Waliikuta Old Moshi Ikiwa Ndio Mji Mkubwa Zaidi Kibiashara …

VYAMA VYA SIASA VYA WACHAGGA – KILIMANJARO

VYAMA VYA SIASA VYA WACHAGGA. 1. Kilimanjaro Chagga Citizens Union (KCCU). 2. Chagga Democratic Pary (CDP). Wachagga Walipata Kuwa na Vyama Viwili Vikubwa Vya Kisiasa Ambavyo Vyote Vilipambana Kufikia Kuwa na Taifa Huru La Wachagga Wakati Harakati Za Utaifa Rasmi Zikiendelea Kupamba Moto, Kilimanjaro Kuanzia Miaka Ya 1920’s. Chama Cha Kilimanjaro Chagga Citizens Union (KCCU) …

MACHAME NKWARUNGO, USHARIKA WA KWANZA WA KKKT, TANZANIA

KKKT – NKWARUNGO LUTHERAN PARISH, MACHAME. Hili Ndilo Kanisa La Kwanza La Kilutheri, Afrika Mashariki. – Wamisionari wa Kilutheri Kutoka Leipzig, Ujerumani Walifika Kilimanjaro, Mwezi Septemba Mwaka 1893 Walipokaribishwa Na Serikali Ya Wakoloni Wajerumani Kuchukua Nafasi Ya Wamisionari Waliowatangulia Kutoka London, Uingereza wa CMS Society Waliofukuzwa Kilimanjaro na Serikali Ya Wajerumani. – Wamisionari wa CMS …

KITIMBIRIHU HOLISTIC CENTRE!

KITIMBIRIHU HOLISTIC CENTRE! Ni Mtaa Katika Kijiji Cha Mdawi Ya Juu, Old Moshi. Ni Sehemu Ya Kwanza Ambapo Injili Ya Yesu Kristo Ilianza Kuhuburiwa, Sio Tu Ndani Ya Uchaggani Na Kanda Ya Kaskazini Bali Ni Sehemu Ya Kwanza Kufanyika Ibada Ya Kikristo Katika Tanganyika Nzima Ukiondoa Bagamoyo. KKKT, Dayosisi Ya Kaskazini Walitangaza Rasmi Eneo Hili …