LUGHA YA WACHAGGA NI MOJA.

LUGHA YA WACHAGGA NI MOJA. – Kumekuwa na Utata wa Muda Mrefu Kuhusu Kama Wachagga Wanaongea Lugha Moja Au Ni Lugha Mbalimbali Tofauti, Jambo Ambalo Limeleta Utata Mwingine wa Kwamba Kama, Je Wachagga Ni Jamii Moja Au Ni Jamii Mbalimbali Zilizojikuta Zinaishi Kwenye Mlima Kilimanjaro na Kuamua Kujiita Kwa Pamoja Wachagga? – Jibu Ni Lugha …

UTARATIBU WA KUPEWA MAJINA UCHAGGANI.

UTARATIBU WA KUPEWA MAJINA UCHAGGANI. Kwa Mila na Desturi za Kichagga Kumekuwa na Utaratibu Huu wa Watoto Kupewa Majina Kwa Uchaggani Kote. Utaratibu Huu Kuna Watu Wengine Hawaufahamu Vizuri au Namna Unavyofanya Kazi. Mila Hii Ya Utoaji Majina Kichagga Huwa Katika Familia Kama Ifuatavyo: – Mtoto wa Kwanza wa Kiume Hupewa Jina La Baba wa …

MAJINA YA ASILI YA MAENEO YA UCHAGGA, KILIMANJARO

Miaka Mingi Imepita Tangu Tumeanza Kuiacha Asili Yetu Kiasi Kwamba Sisi Wenyewe Tumeendelea Kuwa Ni Wageni kwa Tamaduni Zetu Wenyewe Kadiri Siku Zinavyosonga Mbele. Mchagga wa Mwaka 1890 Akikutana na Mchagga wa Mwaka 2021 Wakizungumzia Maeneo Ya Kilimanjaro Wanaweza Wasielewane Kabisa Wanachozungumzia. Leo Tujikumbushe Majina Ya Asili Ya Baadhi Ya Maeneo Ya Uchagga, Kilimanjaro Kabla …

“HATUA MBILI KUBWA MUHIMU, WALIZOKUWA WAMEPIGA WACHAGGA, KABLA YA UKOLONI ZISIZOPEWA UZITO UNAOSTAHILI.”

“HATUA MBILI KUBWA MUHIMU, WALIZOKUWA WAMEPIGA WACHAGGA, KABLA YA UKOLONI ZISIZOPEWA UZITO UNAOSTAHILI.” 1. LUGHA YA MAANDISHI. 2. MAHUSIANO YA KIMATAIFA. 1. LUGHA YA MAANDISHI. Mabadiliko Ya Kifikra Ya Binadamu(Cognitive Revolution), Yalipelekea Binadamu Wote Kuweza Kugundua Lugha Ya Matamshi Lakini Iliwachukua Binadamu Maelfu Ya Miaka Kuweza Kugundua Lugha Ya Maandishi. Jamii Nyingi Hazikuendeleza Lugha Ya …

KILELE CHA MAWENZI, CHA MLIMA KILIMANJARO.

KILELE CHA MAWENZI, CHA MLIMA KILIMANJARO. – Ukizungumzia Mlima Kilimanjaro Watu Wengi Akili Zao Moja kwa Moja Huwa Zinaenda Kwenye Kilele cha Kibo na Kidogo Kilele cha Mawenzi. Kilele cha Shira Watu Wengine Ndio Hawajui Hata Kilipo na Kuna Ambao Hawajui Hata Kama Kipo. – Kilele cha Mawenzi Kipo Upande wa Mashariki wa Mlima Kilimanjaro …

MUONEKANO BORA ZAIDI WA KILELE CHA KIBO, MLIMA KILIMANJARO.

MUONEKANO BORA ZAIDI WA KILELE CHA KIBO, MLIMA KILIMANJARO. Katika Kuizunguka Uchagga, Kilimanjaro Tumeweza Kupata Mwonekano(View) Tofauti Tofauti za Mlima Kilimanjaro kwa Maeneo Mbalimbali. Muonekano(View) Ya Mlima Kilimanjaro Kwa Ujumla Ni Nzuri Sana Kutokea Kwenye Maeneo Mengi Ya Uchagga Kilimanjaro Kwa Ujumla Lakini Eneo Ambalo Pengine Mlima Unaweza Kuuhisi na Kuuona kwa Ukubwa na Mvuto …

WACHAGGA WAHAFIDHINA vs WACHAGGA MALIBERALI.

WACHAGGA WAHAFIDHINA vs WACHAGGA MALIBERALI. Linapokuja suala la kutunza tamaduni siku zote watu hugawanyika katika pande kuu mbili japo wachache hubaki katikati. Kuna wale wa mrengo wa kulia ambao ndio huitwa wahafidhina(conservatives) na wale wa mrengo wa kushoto ambao huitwa *maliberali(liberals)*(huru). Hata miongoni mwetu Wachagga wapo wahafidhina ambao ndio huitwa wa mrengo wa kulia na …

KIJIJI KILICHOTIMIZA VIGEZO VINGI ZAIDI VYA KUWA NA MVUTO ZAIDI KILIMANJARO.

KIJIJI KILICHOTIMIZA VIGEZO VINGI ZAIDI VYA KUWA NA MVUTO ZAIDI KILIMANJARO. KIJIJI CHA ARISI, MARANGU. – Imetuchukua Muda Mrefu Kufikia Hitimisho Hili Kwamba Katika Vijiji Vyote Tulivyotembelea Uchaggani, Kilimanjaro Ni Kijiji Gani Tunaweza Kukitaja Kwamba Kimeweza Kuwa na Uwiano Mzuri Zaidi wa Kufikia Vigezo Tulivyoweka. – Kama Mnavyojua na Mlivyoweza Kujionea Hapa Pia Vijiji vya …